Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Duka la vipodozi

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by salehom, Aug 3, 2012.

 1. salehom

  salehom Member

  #1
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu wadau.Nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza vipodozi sehemu ya Sinza Madukani. Lakini sina uzoefu na biashara hii.Nina mtaji wa shilingi milioni tano. Bahati nzuri fremu sio ya kupangisha, nimepewa na father. Naomba mnichangie mawazo Je inalipa kweli? Changamoto zake zipi? Au kama kuna wazo zuri zaidi ya biashara hii tujuzane wadau.Naombeni mawazo yenu wadau.
   
 2. a

  asilia zanzibar Member

  #2
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  biashara hiyo siyo mbaya inategemea na location na aina ya vipodozi unavyotaka kuuza coz kuna mapambo ya kike kuna mafuta na lotion na kuna pafryum na urembo mwengine so unataka kuweka kipi ama vyote
   
 3. salehom

  salehom Member

  #3
  Aug 3, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nataka niweke vipodozi, mafuta ya kupaka, Pafyumu, Nywele bandia, Heleni, cheni na vitu vinginevyo.
   
 4. a

  asilia zanzibar Member

  #4
  Aug 6, 2012
  Joined: Jul 13, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ni sawa basi iyo ni nzuri coz utakuwa na wateja wa aina tofauti so when u whant to start
   
Loading...