Biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani ngumu sana inaenda nishinda

Mchunguze mshindani wako ujue sabb za yeye kuwin wateja wengi, huenda anauza promotion, so wateja anawapata kwa punguzo la Bei, dawa hapo ni kushusha Bei kidogo ili uanze kuwavuta kidogo kidogo, pambana uongeze bidhaa ili wakikosa kwa jirani zako waje wanunue kwako itakua ni njia 1 ya kupata wateja ila unavosema mtaj wako ni w wastan hutaweza ku win kweNye hiyo Vita,.kumbuka kua hapo uko vitani Kuna kushinda au kushindwa vita na kupoteza hata hicho kidogo ulichonacho.miez 6 inatosha kufanya tasmin ya biashara yako.
 
no miezi sita Sasa imepita tangu nifungue biashara ya mahitaji ya nyumbani duka langu so kubwa saaana ni kawaida tu kwa maana ndo naanza Ila Sasa nimekua nikipitia changamoto ya kukosa wateja ukilinganisha na wafanyabiashara wenzangu ambao wako jirani na Mimi
Kwani Mara nyingi utakuta wateja wamejaa dukani kwao Tena wengine wakisubir kupata huduma ambapo me dukan kwangu hata mteja mmoja hakuna.
Biashara zetu zinafanana utofaut ni kdg sana huduma kwa wateja najitahidi kuwahudumia vizuri natumia lugha nzur pia kwa wateja.
mwanzo nilivyoanza nilijua ni hali ya kawaida katika biashara kutengeneza wateja lazn sku zinavyozid kwenda ndo wateja wanapungua siku inapita mauzo kidogo Sana ambapo nawah mapema Sana kufungua nafunga usiku Sana lakin waapi
naombeni ushaur jaman Nini nifanye maana najitahidi saan kupamba namuomba mungu lkn bado biashar ngumu
Mkuu,hao wengini uliwakuta au walikukuta?
 
Kwanza inaonekana ulikuwa na hesabu zako za kwenye makaratasi ila picha uliyoikuta field ni tofauti. Wateja unaowaona kwa majirani ujue ni mtandao uliotengenezwa muda mrefu labda kama nyote ni wageni. Ukiingia kwenye mambo ya kiroho ni kwamba katika harakati za kutafuta yakupasa kuchagua kumtumikia Mungu au kumtumikia shetani. Biashara inahitaji ufanye ibada, utoe sadaka/zaka. sasa we utachagua unafanya ibada na kutoa sadaka kwa nani.
Anasahau kuwa biashara ya hv netwotk yaje inatengenezwa na mazoea na urafiki

hao aliowaona wanasubiria wengine wanachukuga kwa kukopa. Wanalipa mwisho wa mwez au baada ya wiki..

So kama mtu anaweza kukopa hawez ku risk aje dukan kwako kununua cash aache kumuungisha anaemkopeshaga

hata sie mitaan tunafanya the same

Hapo anatakiwa alazimishe urafiki. Kwa kuanzia na huyo mshindan wake

uzur wa biashara za vyakula hawazibian wateja kama kitu hakuna atatoa pasi kwa duka la pili. Huyu mshindan wake ataanza kumpa network ya wateja iwe direct au indirect
 
Anasahau kuwa biashara ya hv netwotk yaje inatengenezwa na mazoea na urafiki

hao aliowaona wanasubiria wengine wanachukuga kwa kukopa. Wanalipa mwisho wa mwez au baada ya wiki..

So kama mtu anaweza kukopa hawez ku risk aje dukan kwako kununua cash aache kumuungisha anaemkopeshaga

hata sie mitaan tunafanya the same

Hapo anatakiwa alazimishe urafiki. Kwa kuanzia na huyo mshindan wake

uzur wa biashara za vyakula hawazibian wateja kama kitu hakuna atatoa pasi kwa duka la pili. Huyu mshindan wake ataanza kumpa network ya wateja iwe direct au indirect
Umedadavua vyema. Sijui kama mleta mada anafuatilia ushauri kama huu.
 
Ndugu vumilia tu
Narudia tena vumilia
Vumilia huku ukiongeza bidii kwenye utoaji huduma na kuuza kilicho Bora kabisa kuliko waliokuzunguka pia usifikirie mbali Hadi umkosee mungu wako
Nakutakia mapambano mema

Sasa avumilie vp ktk kutoa huduma na kuuza kilicho bora(wateja hakuna sasa unauzaje sasa apo ).
 
Back
Top Bottom