Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,200
- 1,586
1. Marafiki ni muhimu sana ktk biashara, unawadhibiti ili wasiwe wadaiwa kichefuchefu ni suala jingine
2. Biashara ya duka ina FAIDA NDOGO lakini ni YA UHAKIKA kuliko biashara nyingi ndogo ndogo
3. Ili biashara iendelee lazima wewe UKOPESHE nawe UKOPESHWE. Tatizo linakuja unabalance vipi mkopo uliokopa na uliokopesha. Kuna kanuni moja kubwa inasema.
i Kwa uliowakopesha hakikisha wanakulipa mapema kadri iwezekanavyo BILA KUHATARISHA MAHUSIANO ili mzunguko wako kibiashara uwe mzuri, maana siri ya urembo kwenye biashara hii ni kuwa na sufficient cash.ILA CHUNGA UHUSIANO NAO wakati unawadai.
ii Kwa waliokukopesha hakikisha unachelewa kuwalipa Kadari iwezekanavyo BILA KUHATARISHA MAHUSIANO NAO Ili uendelee kupata mikopo na mzunguko wako kibiashara uwe mzuri.
Inatosha kwa leo
Sent using Jamii Forums mobile app