Biashara ya Dildo na Strap-on ni halali kwa mujibu wa Sheria za nchi?

mrbambi

Member
Jul 28, 2015
19
0
Habari wakubwa.

Naomba kujua kuhusu hii biashara Kama ni illegal au hapana na mahala pa kuzipata kwa jumla na bei zake kwa mwenye kujua, maana kuna tenda jamaa yangu kanipa yeye ni muuza mtumba kwenye hostel za kike za wanavyuo wengi hapa mjini na wadada wengi wanaulizia Kama kwenye mtumba anazionaga awaletee.

Sasa kwa nini za mtumba na wakati za special zipo? Hadi now wapo likizo wadada 8 wanahitaji. Naombeni kujuzwa zinakopatikana hapa Dar.

Wanasema raha jipe mwenyewe hawataki stress!
 

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Dec 25, 2012
8,116
2,000
Sidhani kama kuna sheria inayo husu hii kitu!
pia sidhani kama ukiuza utakamatwa kwa uuzaji,labda kama hujalipia kodi na pia labda ukosefu wa maadili!
mi naona havitofautiani sana na kondomu au contraceptives!
ila tfda,tbs na tra wanajua!?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom