Biashara ya design na printing

Naomba kuuliza bei ya t shirt printing machine zinaendaje sokoni na zinapatikana wapi
Zipo nyingi mkuu Ungeweka aina unayohitaji kama ni Hizi za Screen Printing(hapa pia Kuna Manual & Auto), Embroider, HeatPres, DTG au DTF
 
Naomba kuuliza bei ya t shirt printing machine zinaendaje sokoni na zinapatikana wapi
Tshirt Printing inafanyika kwa Njia/Methods nyingi.
Kwa kuanza kabisa kuna njia hizi hapa mbili
1. Screen Printing: Hii ni njia bora kabisa ya kuprint Tshirt, Huhitaji machine kwa kazi rahisi za kawaida ambazo ndizo nyingi mtaani. Unahitaji kujifunza namna ya kutengeneza screen na namna ya kuprint tu. Kwa kazi hasa zenye rangi nyingi au zinazolazimu kuprint full color hapo ndipo unahitaji machine. Machine zinauzwa za kutoka nje, lakini pia namfahamu mtu mmoja Sido DSM Vingunguti anatengeneza na kuziuza.

2. Heat Transfer Printing: Hii unahitaji machine, mfano wa kazi zake ni kama zile Tshirt za msiba n.k. Machine hizi zinapatikana madukani na zipo zinazofanya mambo mengi pia kama kuprint vikombe, kofia, sahani n.k
 
Zipo hapa mjini na unaweza agiza.
Printing machine bei zinaanzia laki sita mpaka milioni.
Na ndivyo printer vile vile.
 
Mimi natafuta ofisi au mtu takaeniendeleza nijifunze kwa vitendo, msaada tafadhari
 
Tshirt Printing inafanyika kwa Njia/Methods nyingi.
Kwa kuanza kabisa kuna njia hizi hapa mbili
1. Screen Printing: Hii ni njia bora kabisa ya kuprint Tshirt, Huhitaji machine kwa kazi rahisi za kawaida ambazo ndizo nyingi mtaani. Unahitaji kujifunza namna ya kutengeneza screen na namna ya kuprint tu. Kwa kazi hasa zenye rangi nyingi au zinazolazimu kuprint full color hapo ndipo unahitaji machine. Machine zinauzwa za kutoka nje, lakini pia namfahamu mtu mmoja Sido DSM Vingunguti anatengeneza na kuziuza.

2. Heat Transfer Printing: Hii unahitaji machine, mfano wa kazi zake ni kama zile Tshirt za msiba n.k. Machine hizi zinapatikana madukani na zipo zinazofanya mambo mengi pia kama kuprint vikombe, kofia, sahani n.k

Mkuu mashine kama Epson L805 unaweza kuprint kwenye T-shirt na Vikombe pamoja na CD? na kama hapana ni mashine ya aina gani ya bei ya afadhali naweza kufanikisha kufanya huduma hizo?
 
Inatakiwa uwe a one stop solution for packaging kwa wajasiliamali,ili utengeneze pesa chap chap.
Nipe umarket manager tutengeeze faranga,,Nina uzoefu wa kufanyia Apple enzi za job lusinde,,,ooh,,namanisha Steve job,

mkuu hapo umemaanisha nini? naomba ufafanuzi
 
Mkuu mashine kama Epson L805 unaweza kuprint kwenye T-shirt na Vikombe pamoja na CD? na kama hapana ni mashine ya aina gani ya bei ya afadhali naweza kufanikisha kufanya huduma hizo?
L805
- ukitumia wino wa sublimation unaweza kuprint sublimation papers ambazo zinatumika kwa ajili ya vikombe, sahani, chupa za maji n.k

- ikiwa na wino wa kawaida unatumia kuprint picha, labels, vipeperushi,n.k . Japo quality ya print yake haidumu sana.

Pia unaweza kuprint transfer papers zinazotumika kwa ajili ya tshirts
 
Tshirt Printing inafanyika kwa Njia/Methods nyingi.
Kwa kuanza kabisa kuna njia hizi hapa mbili
1. Screen Printing: Hii ni njia bora kabisa ya kuprint Tshirt, Huhitaji machine kwa kazi rahisi za kawaida ambazo ndizo nyingi mtaani. Unahitaji kujifunza namna ya kutengeneza screen na namna ya kuprint tu. Kwa kazi hasa zenye rangi nyingi au zinazolazimu kuprint full color hapo ndipo unahitaji machine. Machine zinauzwa za kutoka nje, lakini pia namfahamu mtu mmoja Sido DSM Vingunguti anatengeneza na kuziuza.

2. Heat Transfer Printing: Hii unahitaji machine, mfano wa kazi zake ni kama zile Tshirt za msiba n.k. Machine hizi zinapatikana madukani na zipo zinazofanya mambo mengi pia kama kuprint vikombe, kofia, sahani n.k
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom