papaa2015
JF-Expert Member
- Jul 12, 2012
- 411
- 100
pamoja na kwamba watanzania tumekuwa mstari wa mbele kutetea maadili yetu hasa yanayohusiana na mambo ya mapenzi,bado kuna vitu navishangaa na mara nyingine vimeonekana ni vya kawaida na jamii inaonekana kuvikubali...
Kumekuwa na madanguro mengi sana hapa mjini ambayo yako katika makazi ya watu tena unakua zaidi ya vyumba 15 vimepangana na ni kati kati ya makazi ya watu na wateja wanaingia na kutoka kuanzia saa 1 usiku.
Je,jamii inayafumbia macho na kuridhika?kuna tofauti gani kati ya hayo na wale wanaojipanga bara barani ambao ndo tunawapiga vita?Tunawafundisha nini watoto wadogo ambao ndo taifa lijalo?