Biashara ya Danguro..

jamaa linaweza kupanda dau kubwa mara 2 ya mtaji uliyowekeza lakini linakutaka wewe tajiri hapo vipi? Hebu muogope mungu wa mababu zako,na hata mila na desturi zetu waafrika haziruusu hiyo biashara. Kama unamtaji wa kutosha nenda kwa Kameruni,kwani wewe ni mfuasi wake na utuondolee huo upuuzi hapa.
 
Wakuu nashukuru kwa mawazo yenu, ila mchina wangu anashindwa kuwajibu mmoja mmoja, nitatolea ufafanuzi (maswali yote) punde tu nikifika nyumbani.

asanteni
 
mkuu m pesa ishu ni kwamba nitatangaza nafasi za kazi na wale watakaokuwa interested nikiridhika nao basi tutasaini mkataba ambao utampa haki zote kama waajiriwa wengine.. Ndiyo maana nataka kuifanya iwe legal bussines!

Haiwezi kuwa legal busness, sheria ya sasa hairuhusu. Peleka hoja binafsi bungeni ili serikali Waziri wa sheria apeleke muswada wa marekebisho ya sheria....Au subiri katiba mpya...
 
mimi nina guest na bar maeneo ya manzese na nimeweka huduma hii ina run kimya kimya katika guest yangu na inaniingizia KIPATO KIKUBWA SANA ni biashara nzuri sana asikwambie mtu na kama wataka kuifanya ifanye
 
umekazania kuwa malengo yako kupatia kodi taifa, wakati una yako kichwani!! na hiyo biashara kama watu wakitaka kula tajiri utawapa?? wanao wa kike utaawaajiri hapo ili iwe familly business tu au ?!?!? Kuwa na wisdom kama ni mwanaume/mwanamke biashara zipo nyingi tu za kuanzia hata na vipesa vidogo. wewe unataka kutengeneza kitita kwa kutumia miili ya watu huoni aibu??
Jibu kama wanao wa kike ama nduguzo wa kike utawaajiri hapo, hapo tutajua kweli unania ya kuchangia taifa!!!

Mkuu siyo lengo langu kumtumia mtu, na kwa mantiki hiyo nitaajiri wale wenye interest ya kufanya kazi. Isitoshe wapo kibao mtaani na wanafanya kazi katika mazingira hatarishi, hivyo kwa kuanzisha hii biashara nitakuwa ninawasaidia na wao pia.

Mimi siku za karibuni nimekuwa na fantasy ya kutembea na mature woman...nitakuwa loyal customer kama kwenye hhiyo list ya waajiriwa atakuwa mama yako mzazi.Dada zako nitawaachia wadau wengine.

Kwa kuwa ni ajira basi nitaajiri wale watakaopenda na wenye hobi na hii kazi (wapo wengi tu). Hata ukitaka nikakuoneshe wale wanaoifanya hii kazi niko tayari muda wowote kukupeleka ukajionee na miongoni mwao Mama yangu hayupo kwa sababu siyo hobi yake. Hata mama yako pia akiomba nimuajiri most likely hatafanikiwa kwa sababu nitakuwa nazingatia kigezo cha umri, unless yuko under 30.

Shida ni kwamba hakuna sheria inayotoa ruhusa kwa sex workers! Kwa hiyo sahau kutumia neno legal business.
Nakushauri ingia kwa pazia la escort business. Hiyo itatambulika kisheria lakini mambo yatakayokuwa yanaendelea ni kama hayo unayoyataka wewe.

Mkuu ubarikiwe sana, nitajaribu kucheki hii option iwapo plan A ikishindikana..
 
kama una mtoto au mke au dada yako awe kati ya watoa huduma.

Sina mtoto, sina mke wala dada.. Ila watoa huduma watakuwepo mkuu, shaka ondoa..

Kwa kigezo cha 'liberal' ndio mnatuletea 'uKameroni'

Ukameroun na hii biashara havina uhusiano mkuu, sifungamani na imani za kikameroun.. Shaka ondoa Babu M

ndg yangu futa hayo mawazo ya kishetani ogopa dhambi ndg yng hayo ni mawazo ya kishetani kma utafungua huo mladi na laana iwe juu yako

Asante Baba Mchungaji..

Naomba unijibu,utakuwa tayari kuajiri dada zako kama wanataka?

Obviously watanzania wote ni ndugu, na ndiyo maana nikaweka wazi kuwa dada zangu watanzania nitawapa kipaumbele kwenye kupata ajira kisha baadaye ndiyo nitaajiri watu wa kabila ingine.
 
Anzisha bana. Akikataa kunifungulia mlango usiku, nijuwe nitaenda wapi. At least haki zetu za kufunguliwa mlango usiku wa manane zitazingatiwa.
 
Lakin wadau kama mnafatilia!HII BIASHARA IPO!
Mnaikumbuka makala ya BBC?
Na serikal wala haija'respond,sasa hapa napata mashaka na fyombo fya DOLLAR

Dah, ina maana tayari kuna wajanja walishaniwahi???

Ni mawazo mazuri ila dini,serekali na utamaduni wetu hatujafikia hapo labda mwaka 20000011 kama utakuwepo jaribu kuwekeza hako ka mtaji kako

Huo mwaka kama sintokuwepo mkuu basi nakupa haki zote za kutekeleza hii kitu..

Kanuni ya adhabu inasema:
145. Male person living on earnings of prostitution or persistently soliciting
(1) A male person who–

(a) knowingly lives wholly or in part on the earnings of prostitution; or
(b) in any public place persistently solicits or importunes for immoral purposes,
is guilty of an offence and in the case of a second or subsequent conviction under this section the court may, in addition to any term of imprisonment awarded, sentence the offender to corporal punishment.

(2) Where a male person is proved to live with or to be habitually in the company of a prostitute or is proved to have exercised control, direction or influence over the movements of a prostitute in such manner as to show that he is aiding, abetting or compelling her prostitution with any other person or generally, he shall unless he satisfies the court to the contrary be deemed to be knowingly living on the earnings of prostitution.

Kifungu 146 nacho kinasema:

146. Woman living on, or aiding, prostitution
A woman who knowingly lives wholly or in part on the earnings of prostitution or who is proved to have, for the purpose of gain, exercised control, direction or influence over the movements of a prostitute in such a manner as to show that she is aiding, abetting or compelling her prostitution with any person, or generally, is guilty of an offence.

Kingine kinasema:

148. Brothels
Any person who keeps a house, room, set of rooms or place of any kind whatsoever for the purposes of prostitution is guilty of an offence.

Ukianzisha hiyo biashara na wakitaka kukupeleka mahakamani unafungua kesi ya kikatiba ukidai kuwa unayo haki ya kufanya kazi na hiyo ni kazi vilevile chini ya ibara ifuatayo:

22. Haki ya kufanya kazi
(1) Kila mtu anayo haki ya kufanya kazi.

Wakibisha zaidi unawapiga na kifungu kifuatacho cha katiba:

23. Haki ya kupata ujira wa haki

(1) Kila mtu, bila ya kuwapo ubaguzi wa aina yoyote, anayo haki ya kupata ujira unaolingana na kazi yake, na watu wote wanaofanya kazi kulingana na uwezo wao watapata malipo kulingana na kiasi na sifa za kazi wanayoifanya.

Poa mkuu, nashukuru kwa mwongozo..

TANMO no where to be seen now!Hawakukosea walionena' mkuki kwa nguruwe mchungu'

Nipo kaka, nilikuwa nimetingwa kidogo.. usichukie ndugu, hapa tunabadilishana mawazo kwa nia ya kujenga wala siyo kubomoa. Mapendo..

Aiseee arifu .....hii business nikuambie ukweli utapata wa wateja japo kwa hapa kwetu ni biashara haramu....

Nakushauri jenga kanisa tafuta waumini.....chukua sample space ya Geo Dervie wa Arusha

Mi na kusimama mbele ya watu hatupatani, achia mbali kuhubiri..

Omba biashara ya kufungua migahawa ya kuuza bangi kama kule uholanzi nina hakika utapata dolari kibao kutoka kwa watasha pia wachezaji mpira ,wasanii wa bongo fleva ,masupa staa wa bongo filamu n.k,o ingine inakuwa sasa hiyo ingine itakuwa chachandu ,zote ziwe jengo moja

Tahnks, nitacheki uwezekano wa kuufanyia kazi huu ushauri..
 
jamaa linaweza kupanda dau kubwa mara 2 ya mtaji uliyowekeza lakini linakutaka wewe tajiri hapo vipi? Hebu muogope mungu wa mababu zako,na hata mila na desturi zetu waafrika haziruusu hiyo biashara. Kama unamtaji wa kutosha nenda kwa Kameruni,kwani wewe ni mfuasi wake na utuondolee huo upuuzi hapa.

Asante kwa ushauri..

Nina mashaka na mtoa uzi nahisi atakua sio mzima.

Aisha mambo?
neno uzima lina maana nyingi sana, sijui unamaanisha nini? hebu fafanua kidogo basi mpendwa..

yap ..hujakosea kabisa ..nimefuatilia sana post zake humu ndani ..jamaa upstairs hakujatulia ... Atakuwa na matatizo makubwa sana.

Mtakatifu sijakuelewa, hebu fafanua zaidi..
Ubarikiwe
mimi nina guest na bar maeneo ya manzese na nimeweka huduma hii ina run kimya kimya katika guest yangu na inaniingizia KIPATO KIKUBWA SANA ni biashara nzuri sana asikwambie mtu na kama wataka kuifanya ifanye

Mkuu nitakutafuta unipe mwongozo namna hii biashara inakwenda.
Asante sana
 
Wakuu kutokana na hali halisi ya uhaba wa nafasi za ajira nchini mwetu, pamoja na msisitizo kutoka Serikalini kuwa vijana tutafute namna ya kujiajiri kwa kufanya biashara halali basi ninafikiria kuanzisha hii biashara kama mwitikio wa ushauri wa viongozi wetu kuhusu kujiajiri. Hivyo basi kutokana na vijisenti nilivyobakiwa navyo (ambavyo vinakaribia kuisha), nimefikiria aina nyingi sana za biashara lakini asilimia kubwa tayari zina ushindani mkubwa. Hivyo ninafikiria kutafuta nyumba kwa ajili ya utoaji wa huduma hii kwa wateja.

Kwa kuanzia nitaajiri watanzania wenzangu (Mabinti 10) ili nao pia waweze kujipatia kipato cha kujikimu, huko mbeleni nitaifanya biashara iwe ya kimataifa zaidi kwa kuajiri pia wageni, hususani kutoka mabara ya Ulaya, Asia pamoja na Amerika ya Kusini. Wafanyakazi wangu wote nitahakikisha wanapimwa afya zao kila mwezi ili kuweza kujihakikishia usalama wa wateja wangu.

Pia nitaingia mkataba na Kampuni ya Ulinzi na eneo langu la biashara litakuwa na Ulinzi masaa 24. Ninaangalia pia utaratibu wa kufungua massage parlor ambayo itakuwa inatoa huduma za massage hususani erotic massage kwa wale ambao hawatahitaji huduma nyingine.

Sasa basi, ningependa kupata ushauri wenu wadau, ni maeneo gani yanafaa kufungua hii biashara (ninafikiria Ubungo ama Mwenge, naomba mawazo yako). Pia kuweza kufahamu utaratibu wa kufuata ili kuweza kupata kibali cha Serikali ili niweze kuanza biashara (ili niweze kuchangia Taifa langu kwa kulipa kodi).

Kwa yeyote aliyewahi kuifanya hii biashara naomba kujua ni changamoto gani nitaweza kukumbana nazo kwenye huu uwekezaji?

Ni matumaini yangu kuwa mtanipa mawazo kuntu.
Asanteni sana.

Mapendo
TANMO.

Mkuu hiyo Avatar yako iko under 18 halafu unaandika habari za kifedhuli haipendezi kabisaa...unapotakaandika habari kama hizi changa avatar yako.
 
Khaaaaaaaa! We tanmo hebu njo nikuazime shamba ulime.

halafu ukilichukua niendelee kufa njaa siyo?

Mkuu hiyo Avatar yako iko under 18 halafu unaandika habari za kifedhuli haipendezi kabisaa...unapotakaandika habari kama hizi changa avatar yako.

Mkuu ufedhuli maana yake nini?
Usimind mkuu, tupo kuelimishana.
Mapendo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom