Biashara ya Danguro.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Danguro..

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by TANMO, Dec 6, 2011.

 1. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Wakuu kutokana na hali halisi ya uhaba wa nafasi za ajira nchini mwetu, pamoja na msisitizo kutoka Serikalini kuwa vijana tutafute namna ya kujiajiri kwa kufanya biashara halali basi ninafikiria kuanzisha hii biashara kama mwitikio wa ushauri wa viongozi wetu kuhusu kujiajiri. Hivyo basi kutokana na vijisenti nilivyobakiwa navyo (ambavyo vinakaribia kuisha), nimefikiria aina nyingi sana za biashara lakini asilimia kubwa tayari zina ushindani mkubwa. Hivyo ninafikiria kutafuta nyumba kwa ajili ya utoaji wa huduma hii kwa wateja.

  Kwa kuanzia nitaajiri watanzania wenzangu (Mabinti 10) ili nao pia waweze kujipatia kipato cha kujikimu, huko mbeleni nitaifanya biashara iwe ya kimataifa zaidi kwa kuajiri pia wageni, hususani kutoka mabara ya Ulaya, Asia pamoja na Amerika ya Kusini. Wafanyakazi wangu wote nitahakikisha wanapimwa afya zao kila mwezi ili kuweza kujihakikishia usalama wa wateja wangu.

  Pia nitaingia mkataba na Kampuni ya Ulinzi na eneo langu la biashara litakuwa na Ulinzi masaa 24. Ninaangalia pia utaratibu wa kufungua massage parlor ambayo itakuwa inatoa huduma za massage hususani erotic massage kwa wale ambao hawatahitaji huduma nyingine.

  Sasa basi, ningependa kupata ushauri wenu wadau, ni maeneo gani yanafaa kufungua hii biashara (ninafikiria Ubungo ama Mwenge, naomba mawazo yako). Pia kuweza kufahamu utaratibu wa kufuata ili kuweza kupata kibali cha Serikali ili niweze kuanza biashara (ili niweze kuchangia Taifa langu kwa kulipa kodi).

  Kwa yeyote aliyewahi kuifanya hii biashara naomba kujua ni changamoto gani nitaweza kukumbana nazo kwenye huu uwekezaji?

  Ni matumaini yangu kuwa mtanipa mawazo kuntu.
  Asanteni sana.

  Mapendo
  TANMO.
   
 2. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kemea Ushetani, maana Mungu anawapenda sana wavumimilivu, hivyo zamu yako inakuja wala hamna haja ya kufanya ushetani.
   
 3. M

  Morinyo JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 2,476
  Likes Received: 464
  Trophy Points: 180
  ushindwe na ulegee
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  kweli umasikini kitu kibaya sana...
   
 5. m

  mareche JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 475
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nakushauri usisahau huduma ya tigo wateja wapo
   
 6. M-pesa

  M-pesa JF-Expert Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Sep 4, 2011
  Messages: 605
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Unaijua adhabu ya ku facilitate human trafficking?
   
 7. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,635
  Trophy Points: 280
  inawezekana watu kama nyie ndio watumiaji wakubwa wa Tigo .. na ndio mliompigia mkulu kura awamu ya pili hii ...
   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,635
  Trophy Points: 280
  kivipi mkuu katavi....developed countries mnapoenda kuomba misaada haya mambo hayapo?
   
 9. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #9
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,403
  Likes Received: 737
  Trophy Points: 280
  I'm so liberal na sioni ubaya wa biashara hii kuhalalishwa kama nchi nyingine ile wahusika walipe kodi na itasaidia kupunguza ubakaji....
   
 10. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #10
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sijui kwa nini nimeingia hapa!naondoka kimyakimyabila kumbuguzi mtu
   
 11. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #11
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  mkuu m pesa ishu ni kwamba nitatangaza nafasi za kazi na wale watakaokuwa interested nikiridhika nao basi tutasaini mkataba ambao utampa haki zote kama waajiriwa wengine.. Ndiyo maana nataka kuifanya iwe legal bussines!
   
 12. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #12
  Dec 6, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Biashara kama hii ilishamiri sana miaka ya '70 hapa nchini kama vile maeneo ya Kisutu, Temeke (Dsm), Shamba street (Moro). Nahisi haikuwa inalipa ni biashara kichaa!
   
 13. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #13
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  kaka nashukuru kwa kunielewa. Ukweli ni kwamba hii ni miongoni mwa biashara ambayo itaweza kuingiza pesa kwenye pato la taifa kwa kupitia kodi..
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Dec 6, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,375
  Likes Received: 19,635
  Trophy Points: 280
  sheria zetu haziruhusu...labda utoe mapendekezo iingie wenye katiba mpya
   
 15. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #15
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  sasa unatafuta na wateja kabisa kabla hata ya kupata wafanyakazi au?
   
 16. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #16
  Dec 6, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ya ni biashara nzuri sana ila kama una mtaji mkubwa anzisha mkoa wa Morogoro maeneo ya msamvu utapata hele mpaka ushangae kwa sababu huo mkoa kwa sasa unatka kuwa kama wa semina, na si unajua watu (wanandoa) wakiwa semina inakuwa kama mbuzi amekata kamba wanafunguka ile mbaya, yaani imefika kipindi ukienda mapinduzi hawataki muondoke na ukitaka kuondoka bei inakuwa ipo juu sana, ila chukua viwango na wacheshi, ila kama ukiweza kupata hata wa kiume ni vzr kwani nilishuhudia mashuga mami yakikaaa mkao wa hasara wakiwa na sura za uhutaji.
   
 17. Kitope

  Kitope JF-Expert Member

  #17
  Dec 6, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 228
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  umekazania kuwa malengo yako kupatia kodi taifa, wakati una yako kichwani!! na hiyo biashara kama watu wakitaka kula tajiri utawapa?? wanao wa kike utaawaajiri hapo ili iwe familly business tu au ?!?!? Kuwa na wisdom kama ni mwanaume/mwanamke biashara zipo nyingi tu za kuanzia hata na vipesa vidogo. wewe unataka kutengeneza kitita kwa kutumia miili ya watu huoni aibu??
  Jibu kama wanao wa kike ama nduguzo wa kike utawaajiri hapo, hapo tutajua kweli unania ya kuchangia taifa!!!
   
 18. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #18
  Dec 6, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  kama una mtoto au mke au dada yako awe kati ya watoa huduma.
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Miradi bubu ya wazalendo
   
 20. babu M

  babu M JF-Expert Member

  #20
  Dec 6, 2011
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 3,993
  Likes Received: 1,001
  Trophy Points: 280
  Mimi siku za karibuni nimekuwa na fantasy ya kutembea na mature woman...nitakuwa loyal customer kama kwenye hhiyo list ya waajiriwa atakuwa mama yako mzazi.Dada zako nitawaachia wadau wengine.
   
Loading...