Biashara ya chupi hapa Dar itanitoa?

Wimsha

JF-Expert Member
Dec 8, 2015
518
503
Nimetoka Kwenye darasa la ujasiriamali. Mwalimu kasema ili ufanikiwe you have to think out of the box.

Wana JF nimenthink out of the box nakuja na idea munisaidie kupata fursa ya kutoka kimaisha. Hivi jumla ya uzito wote wa chupi zinazovaliwa hapa Dar mchana ni kiasi gani? Na usiku je? Hamna fursa hapo ya ku-make money? Nimedata mwenzenu...
 
Kwahiyo Ujasiriamali wako katika chupi ni kutaka kuongeza uzito au kupunguza?
 
Chupi zipi hasa? za kike au kiume.nakushauri za kike halafu uwe na mobile service..ili ufanikiwe uwe na namba ya whatsapp pia Uwe Instagram ili mteja achague huko then unampelekea kwake
 
Kuna biashara nyingine zimejificha zinahitaji jicho la tatu.. hapa nakusudia huko kuthink out of the box.... kama bakhresa anafanikiwa kwa kuuza biscuti ya mia 2 au moo kwa kibiriti cha shilingi hamsini ,,,, mimi na wewe tunadhani ni lazima tuuze bidhaa za mamilioni come on .....hatutaweza kuwa na jicho la tatu...........................................................................................................................................BIASHARA YA CHUPI ni dili kubwa ambalo watu wengi wanalidharau,,, hebu jiulize nani avai chupi, boksa au taiti, jibu ukilipata tukutane October 2020
 
Dah...Kama Ni za kike utaumia...85% ya wanawake wa Dar hawavai chupi

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom