Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Biashara ya Chipsi ina kanuni zake mfano ijumaa,jumamosi,jumapili na jumatatu ni siku za biashara ila jumanne na jumatano ni mbaya na alhamisi ni siku ya majanga upende usipende kwahiyo kuna siku inakubidi uwe tayari Ku break even na sio kupata faida
Kwanini inakuwa hivi mkuu naomba nijuze tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ndugu zangu,

Kwa mara nyingine tena nairudia hii mada mana inahusu biashara yangu nilioianzisha siku za karibuni,

Mimi nina banda la chipsi mitaa ya Temeke apa sasa nataka nishushe bei chipsi yaani niuze kavu 1000 na chipsi mayai 2000 na temeke nzima na mitaa ninayouzia hakuna sehemu wanayouza bei hiyo wao wanauza 1500-2500 na hii mbinu ni mbinu muhimu katika biashara ambayo ukiitumia utaona faida nzuri ukiwa unatoka mzigo mwingi.

Mimi saizi sijatarget faida nimetarget wateja kwanza mana najua nikiuza siku 3 tu siku ya 4 lazima niuze gunia tena mbele ya banda naandika na bei kabisa ili hata mpita njia aone na ili nichukue wateja wa majirani zangu wote ILA NAHISI NITAROGWA NA MAJIRANI WANAOUZA CHIPSI mana hii mbinu kuna mzee aliitumia Mbeya ni tajiri vibaya mno.

USHAURI JAMANI MAANA JUMAPILI NDO INAANZA KUA APPLICABLE (ubora na madhaifu yake)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera kaka yangu,
Kwa kujiongeza lakini ngoja nikuongezee kitu fulani hivi cha muhimu.

Kwanza kubali kuuza kwa bei hiyo, halafu kikubwa zingatia usafi na huduma yako iwe nzuri kwa mfano, vyombo unavyo tumia kama, sahani nzuri, uma, vijiko, viwe vizuri na pia ( packing ) ufungaji wako wa bidhaa iwe nzuri mfano, mteja amehitaji chipsi na mshikaki 1, badala ya kumwekea kwenye mfuko unatafuta bahasha una tengeneza kwa ubunifu au chochote kitu ambacho unaweza kufungia na mteja akavutiwa zaidi tukiachana na food container, paper bag,

Pia hakikisha chipsi zao zinakuwa na mvuto ziive na kuwa na ladha nzuri na kipimo kiwe cha kuridhisha kwa mteja,

Sina mengi sana lakini pitia you tube au mtandaoni uangalie jinsi ya kupika chipsi nzuri, au kuku, au mishikaki n.k


Nakutakia kazi njema.
 
Wazo zuri ila angalia usije kuwa unapata hasara...

Faida iwepo ila kidogo hapo sawa sio unaendesha biashara faida hamna hata kidogo.

Uzuri wa chakula, kipimo kizuri, usafi na lugha nzuri kitawaleta na kuwapa makazi wateja katika biashara yako
 
Pale sokoni tandika kuna baba huwa anauza kwa hela yako kama una 1200 anakupimia kipimo chako na kama una 1500 anakupimia kipimo chako,
Mishkaki anauza 400 na naona ana wateja wa kutosha..
Kila la kheri mkuu.

love thé love or hâte thé love.....
 
Mkuu wewe uza utengeneze wateja wengi niliwahi kuishi maeneo fulani ya mkoa wa mwanza jirani na chuo kikuu saut mwanza kuna vijana wanatengeneza chips mayayi kwa elfu mbili,mixer kachumbali lakutosha alafu kubwa na wanauza sana kwahiyo usiogope kulogwa muamini mungu na hakika utafanikiwa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Baraka Rabson .....
sidhani kama ni busara kumwita PM mtu aliyeomba ushauri Public, kama unatoa msaada toa hapa ili watu wengine waweze kunufaika pia. Kumbuka huyu ni mwakilishi tu, wapo weengi wanafuatialia huu Uzi na wana Cash , tatizo ni wazo la biashara,....Kama hutajali elezea hapa.
Hawa watu wa sampuli hii ndio wale wale ambao wanataka kila kitu kwao kifanyike kwa malipo wakati kuna vitu unaweza share bure na wala isikugharimu kitu sasa hapo anataka akampige mtu kitu kwa kujifanya ana akili za MUNGU ambazo anatakiwa ampe huyo bi dada kumbe na yeye mganga njaa tu anatafuta pa kupiga ili aishi mjini...... Aseme hapa uone kama sio ushauri hewa

SONY Xperia Z5 Premium
 
Peleka njaa zako huko, na minamba ako, ye kaomba ushaur hapa kwa faida yake yy na wengne pia, mambo ya kuanza muita kwenye ofis ako c ndo kumuibia huko? Nyie mnakula pesa za watu hata wazo la maana hammpi, kma wajiamini shusha nondo hapa watu wapime
Kabisa na ndicho nilichosema hapo juu......hii ndio ile sampuli ya misheni town ambao wanaidea za biashara na maisha ila cha ajabu wanakaa wakisubiri kushauri wengine inamaana hawana mbele wala nyuma

SONY Xperia Z5 Premium
 
Habarini wana-jf.

Nahitaji kufanya biashara ya chips ya kisasa hapa Dar, lakini nahitaji mtu wa kuungana naye ili tuunganishe akili na mitaji maana umoja ni nguvu.

Vigezo; Awe mwaminifu, aliye tayari kuchapakazi mzoefu wa biashara hii hasa kukaanga, awe anajua maeneo ambayo biashara yetu inaweza kufanya vizuri na hatimaye tukaitanua na kufungua frem zingine.

Asilimia 90 ya vifaa nimekwishanunua. Mpaka sasa nilichobaki ni kupata frem, kuilipia na pesa za kuanzia yaaani kununulia vitu, meza, viazi, Mafuta, kuku, samaki na vitu vidogovidogo. Aliye tayari tuwasiliane kwa namba 0655-535593

Mkuu vipi tufanye mpango, niwe nakuletea mayai ya kuku wa kienyeji.
 
mtvbase said: ↑
Kwanini inakuwa hivi mkuu naomba nijuze tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
CHAULA RICH said: ↑
Mkuu uko vizuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
dikembe said: ↑
Hawa watu wa sampuli hii ndio wale wale ambao wanataka kila kitu kwao kifanyike kwa malipo wakati kuna vitu unaweza share bure na wala isikugharimu kitu sasa hapo anataka akampige mtu kitu kwa kujifanya ana akili za MUNGU ambazo anatakiwa ampe huyo bi dada kumbe na yeye mganga njaa tu anatafuta pa kupiga ili aishi mjini...... Aseme hapa uone kama sio ushauri hewa
SONY Xperia Z5 Premium
Kiboko. said: ↑
Kabisa na ndicho nilichosema hapo juu......hii ndio ile sampuli ya misheni town ambao wanaidea za biashara na maisha ila cha ajabu wanakaa wakisubiri kushauri wengine inamaana hawana mbele wala nyuma
SONY Xperia Z5 Premium
Zero 2 Hero said: ↑
Mkuu vipi tufanye mpango, niwe nakuletea mayai ya kuku wa kienyeji.
Gmarra said: ↑
mkuu m nashida na ya kisasa
Sent using Jamii Forums mobile app
kingsaula said: ↑
Njoo pm tuzungumze ndgu.
Usk chanya
I am your Professional Logo Designer :: Reload your Image. Get a Logo :: +255 688 999 006 (calls, texts & whatsapp)
Changamoto ya chipsi ni kukopwa na wadada Forums General Forums
Biashara, Uchumi n...
8 9 10 11 12 13
#1 Jun 30, 2012 Kilahunja
JF-Expert Member
Habari wana jamii..
Ninashida ya kupata taarifa ya biashara ya chips.nimepata wazo hili na nina mtaji wa 1M, naishi dar na ninapenda sana biashara hii japo sina ujuzi. Yeyote mwenye kujua naomba anijulishe.
Asante sana.
Habari ndugu wana jamii forum,naomben msaada wa mawazo yenu juu ya kuendesha biashara ya chips na kuhakikisha kila mwisho wa siku unao mchanganuo mzuri wa faida na hasara
Naomba aliyewahi kuifanya aniambie changamoto zake kulingana na eneo alilowahi kufanyia. Nishanunua vifaa na nishampata dogo mmoja, sehemu kuna mchanganyiko wa watu na hela ya kulipia kibaraza sio kubwa maan ninaeka na kafriji!
Sasa nataka kujua ni mambo gani ya kuzingatia, lakini pia nilitaka niweke sehemu kubwa kidogo ila sijapata sehemu ambayo ni classic on the long run nitengeneze brand yangu ya chips, msaada!
Sasa tatizo jingine, nataka kujua changamoto za hii mambo. Japo hii ni biashara yangu ya pili ya msosi ila sio nyanja hii. Please msaada kwa aliyewahi ifanya!
Kijana kwanz umefanya vizuri kuomba ushauri, achana na watu wenye mawazo mgando, mimi ninauzoefu kiasi flan juu ya biashara ya chips. Biashara ya chips inaweza ikakulipa sana tu bt katika mazingira ya fuatayo mbali na mtaji.
1: LOCATION: hiki ni kitu cha msingi sana unaweza kuwa na mtaji wa kutosha bt ukikosea location inakula kwako-tafuta hasa eneo ambalo lina traffic ya watu au sehemu za biashara na maofisi:
2: Usimamizi wa karibu-usimamie wewe mwenyewe au mtu wako wa karibu sana la sivo vijana watakuliza, kuwa makini kutafuta vijana wa kukusaidia kazi zingatia hasa uaminifu.
3: Good customer care na ubunifu kwenye biashara: ukizingatia haya biashara hii inaweza kukulipa net profit ya laki mbili kwa siku :
NB itatemeana na eneo utakalotafuta bt m3 inatosha sana
BIASHARA YA CHIPS IPO HIVI
Biashara hii inafanywa kwa makubaliana ya kumpangishia kijana mahala pakufanyia kazi,mahitajio yote muhimu km viazi, kalai, sahani, jiko, mafuta na pesa, tomato na vingine ikiwezekana na pesa kidogo ya dharura..
sasa kinachotakiwa kwenye mkataba wenu ni kwamba yeye aendeshe hiyo biashara anavyojua yeye ameuza hajauza lazima akupe kiasi fulani ambacho ww utakiona kitafaa kukulipa kwa mtaji uliouanzisha, malipo mtalipana kwa jinsi eneoo la biashara litakavyokuwa aidha kwa siku au kwa wiki is it up to nyinyi..
HAKUNA HAJA YA KUMFATILIA WEWE FANYA SHUGHULI ZAKO,ikifika muda wa kukupa fedha yako fasta usichelewe nenda kaichukue...km itakuwa anakupa pungufu ya ile mliokubaliana mvumilie kwa kipindi fulani tu nasi mda mwingi,lingine hakikisha unapata muda wa kuhakiki mtaji km unaendelea vizuri.
Mtaji wa 1M kwa chips Dar es salaam ni mdogo kv ukitaka eneo zuri hiyo 1M inaweza kuishia kwenye kukodi eneo! Kwa mfano, kodi ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana ambalo linaweza lisiwe na biz mzuri! Na hata ukipata eneo zuri kwa hiyo bei, hapo utahitaji laki 7 kulipia ( + laki ya dalali ) which means kwenye 1M unabaki 300K!
Kufanya biashara ya chips kisasa unaanzia na mazingira; which means hiyo 300K itaishia kwenye kuandaa mazingira bora na ya kisasa!!
Kutokana na huo mchanganuo utaona ni namna gani 1M isivyotosha!
REMEMBER: Bei ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana!! Mbaya zaidi; wamiliki wa haya maeneo ya kawaida ni maskini wenzetu lakini waliojawa tamaa! Wewe mwenyewe ukishaona tu biz inaenda vizuri basi jiandae kutafuta eneo lingine kv anaweza kukuchomolea kuongeza mkataba!! Anaona unapata kwahiyo anaingia tamaa wewe uondoke afanye yeye/wao wenyewe!
[HASHTAG]#241[/HASHTAG] Jul 27, 2017 Maserati
JF-Expert Member
[HASHTAG]#242[/HASHTAG] Jul 28, 2017 jombi95
JF-Expert Member
[HASHTAG]#243[/HASHTAG] Jul 28, 2017 ihagaa
JF-Expert Member I
ndo naingia wa3 UDSM-DUCE
Sent using Jamii Forums mobile app
[HASHTAG]#244[/HASHTAG] Jul 28, 2017 Daviie
JF-Expert Member
[HASHTAG]#245[/HASHTAG] Jul 31, 2017 ukhuty
JF-Expert Member
[HASHTAG]#246[/HASHTAG] Jul 31, 2017 kingsaula
Senior Member K
sema DUCE tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[HASHTAG]#247[/HASHTAG] Aug 2, 2017 kingsaula
Senior Member K
New
Mkuu kwanza nikupongeze kwa harakatii unazozifanya mana huwa naziona thread zako nyingii ukiomba ushauri wa biashara....vilee na ilee saloon ipoooo bado...???
Sent using Jamii Forums mobile app
[HASHTAG]#248[/HASHTAG] Aug 2, 2017 heavyload
JF-Expert Member H
New
Biashara ya Chipsi ina kanuni zake mfano ijumaa,jumamosi,jumapili na jumatatu ni siku za biashara ila jumanne na jumatano ni mbaya na alhamisi ni siku ya majanga upende usipende kwahiyo kuna siku inakubidi uwe tayari Ku break even na sio kupata faida


MKUU kwanini inakuwa hivyo

mtvbase
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom