Biashara ya chips: Faida na Changamoto zake

Ndugu chips tu unataka partnership au una mengine?
Nilipiga hesabu ukitaka kufanya biashara ya chips ya kisasa unahitajika mtaji wa angalau 1M Ndio maana nikataka partnership. Tuwe tuna-comment kuelimisha na kusaidiana mawazo siyo kukatishana Tamaa. Mimi ninavifaa vyote ila bado sijapanga frem hivyo nikipata mbia tutajadiliana kuhusu sehemu ya kuweka
 
...moja kati ya biashara inayofanywa kimazoea sana;ubunifu zero kabisa!.....hakikisha mnamaliza ufundi kwenye viungo na masotojo,kama watoto wa Ilala!
 
Big up !!!! Keep it up mdogo mdogo ndio mwendo....me labda ushaur tu mkitaka kuanza just inform me.....I ll help you by telling you how you can prepare nice sekela na sio kuku wakuchoma tu, nice mishkaki sio nyama choma....ukitaka partner naweza kua but I won't work at all....just share....but iwe really ya kisasa, it will require the capital kubwa zaid ya 1m for my exprnc, kwanza ntajyalika baadh ya sehem ufanye banchmark
 
Hello comrade, twaweza ongea but mie muda sina kabisa wa kusimamia, nipo commited sehemu nyingine. You can inbox kama upo interested.
 
Dah inachangamoto sana hii haswa kama umemkuta mtu alishaanzishaga hapo jirani afu we ukaja lakini ni biashara ya uhakika kama utapata location nzuriii dah na wazee wa chumaulete nao pia ni kati ya watu wanaoisumbua sanaa hii biashara iasee!!! Nilishafanya ila ndo ikafaaa kifo kibaya snaaa yaani snaaa!!! Unajua mkiwa patnashipu mnatakiwa muwejee!!!!
 
Nimeshapata kwa sasa tunatafuta mtaalamu wa chiko la chips
 
Mungu akubariki biashara ikue nakutia moyo usikate tamaa na pia kwenye ushirika lazima muwe kitu kimoja kuu zaidi upendo.
 
Nilipiga hesabu ukitaka kufanya biashara ya chips ya kisasa unahitajika mtaji wa angalau 1M Ndio maana nikataka partnership. Tuwe tuna-comment kuelimisha na kusaidiana mawazo siyo kukatishana Tamaa. Mimi ninavifaa vyote ila bado sijapanga frem hivyo nikipata mbia tutajadiliana kuhusu sehemu ya kuweka
Mtaji wa 1M kwa chips Dar es salaam ni mdogo kv ukitaka eneo zuri hiyo 1M inaweza kuishia kwenye kukodi eneo! Kwa mfano, kodi ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana ambalo linaweza lisiwe na biz mzuri! Na hata ukipata eneo zuri kwa hiyo bei, hapo utahitaji laki 7 kulipia ( + laki ya dalali ) which means kwenye 1M unabaki 300K!

Kufanya biashara ya chips kisasa unaanzia na mazingira; which means hiyo 300K itaishia kwenye kuandaa mazingira bora na ya kisasa!!

Kutokana na huo mchanganuo utaona ni namna gani 1M isivyotosha!

REMEMBER: Bei ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana!! Mbaya zaidi; wamiliki wa haya maeneo ya kawaida ni maskini wenzetu lakini waliojawa tamaa! Wewe mwenyewe ukishaona tu biz inaenda vizuri basi jiandae kutafuta eneo lingine kv anaweza kukuchomolea kuongeza mkataba!! Anaona unapata kwahiyo anaingia tamaa wewe uondoke afanye yeye/wao wenyewe!
 
Asante kwa ushauri wako
 
Naungana na mdau mmohja hapo juu
Kwanza Mungu akubariki kwa kutokuwa mchoyo

Ila kuw amakini na wenye frame,maana unaweza kuweka juhudi kubwa sana kwenye biashara then ukashangaa mara bei inapanda ghalfa au anakuzingue wakati wa ku renew.Ikipita siku unakuta anafanya yeye,na wengi inawashinda,maana wanakuwa wamedandia.

Ndio maana hupenda kupangisha frame kwa mtu mwenye hela,na sio walee wenzetu waliochoka kama mie.

Angalizo:Sio wote masikini wenye frame wanafanya hivyo,wapo maskini ambao Mungu amewapa nafsi za Ubinaadam
 
Big up !!!! Keep it up mdogo mdogo ndio mwendo....me labda ushaur tu mkitaka kuanza just inform me.....I ll help you by telling you how you can prepare nice sekela na sio kuku wakuchoma tu, nice mishkaki sio nyama choma....ukitaka partner naweza kua but I won't work at all....just share....but iwe really ya kisasa, it will require the capital kubwa zaid ya 1m for my exprnc, kwanza ntajyalika baadh ya sehem ufanye banchmark
Naomba mawasiliano yako mkuu
 
Mtaji wa 1M kwa chips Dar es salaam ni mdogo kv ukitaka eneo zuri hiyo 1M inaweza kuishia kwenye kukodi eneo! Kwa mfano, kodi ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana ambalo linaweza lisiwe na biz mzuri! Na hata ukipata eneo zuri kwa hiyo bei, hapo utahitaji laki 7 kulipia ( + laki ya dalali ) which means kwenye 1M unabaki 300K!

Kufanya biashara ya chips kisasa unaanzia na mazingira; which means hiyo 300K itaishia kwenye kuandaa mazingira bora na ya kisasa!!

Kutokana na huo mchanganuo utaona ni namna gani 1M isivyotosha!

REMEMBER: Bei ya laki 1 kwa mwezi utapata eneo la kawaida sana!! Mbaya zaidi; wamiliki wa haya maeneo ya kawaida ni maskini wenzetu lakini waliojawa tamaa! Wewe mwenyewe ukishaona tu biz inaenda vizuri basi jiandae kutafuta eneo lingine kv anaweza kukuchomolea kuongeza mkataba!! Anaona unapata kwahiyo anaingia tamaa wewe uondoke afanye yeye/wao wenyewe![/QUOTAhahahah..
 
Back
Top Bottom