Habari ndungu wana JF
Naomba msaada kwa anayejua vizuri biashara ya car wash au mwenye uzoefu nayo plz
Hii biashara sasa imekua too mich... hasa kwa Dodoma..
magari pia yapo mengi,unafanya kile chenye sokoNamaanisha kila baada ya kilometer moja kuna car wash.. car wash dodoma zimekua nyingi sana
mti wa matunda ndio unalengwa mawe,ina faida ndio maana imekuwa to muchKabisa mkuu