Biashara ya bisi (popcorn) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya bisi (popcorn)

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Husninyo, Jan 24, 2011.

 1. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wadau,
  nafikiria kufungua biashara ya kutengeneza bisi (popcorn), kwa upande wangu naiona ni biashara rahisi na haitahitaji mtaji mkubwa.
  Kuhusu sehemu ya kufanyia si tatizo na biashara yangu nishajua watu wa kuwatarget.
  Kwa ambaye anaijua vizuri hii biashara naomba mawazo yake.
  Ahsanteni na mbarikiwe sana.
   
 2. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Ili upate ushauri mzuri ni vyema ukasema ni wapi unaplan kuweka biashara yako, biashara ya popcorn ni biashara inayolenga sehemu maalum na wakati mwingine inaendana na matukio, ukienda na popcorn zako uwanja wa taifa siku ya mechi ya yanga na simba si sawa na ikiwa siku ya Ivory cost na taifa stars. kitu kingine cha muhimu ni wale wauzaji, usije kuweka machangu wastaafu kama wale wa century cinemax mlimani city ambao kazi yao ni kuchekea wanaume tu na kuwa wakali kwa wadada na watoto.Usisahau kuweka maujanja mengine kama flava maana kwa Tz ukiacha caramel hakuna zaidi...
   
 3. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Habari Hope you are fine.....
  Kutokana na kwamba tayari umeshafanya market na wateja tayari unao..., kitu kilichobaki ni koberesha bidhaa yako.., ifanye iwe bora na unique ili upate repeat costomers hakikisha na package ni nzuri na since bisi zinaendana na juice unaweza ukauza na juice as well nimecheki online nimeona recipes za popcorn kwahiyo unaweza ukatengeneza popcorn tofauti na kuzipa majina matamu mfano Delicious-Hus,
  etc :)
  angalia hapa hizi recipes they might help Popcorn recipes - Free and easy popcorn recipes collection

  Dont forget another market segment, supermarket...., usiogope hata big guns kama Shoprite so long as ukiweka bar code na kama upo registered you can sell to them, if not hata hizi supermarkets za mitaani sio mbaya
   
 4. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Ahsante mjepu.
  Nimelenga mashuleni/vyuoni.
  Kuuza kutokana na matukio pia ni wazo zuri ila sikufikiria kuuza kwa mtindo huo.
  Kuhusu muuzaji na flavour. nitafanyia kazi
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ahsante VOR, ndio nataka kuanza ila kuhusu wateja kwa simple research niliyofanya naona haitasumbua.
  Wazo la kuuza na juice ni zuri lakini sitoweza maana gharama tena itabidi ziongezeke.
   
 6. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Hakuna kabisa gharama kwenye juice tena profit margin ni kubwa zaidi its just some few fruits, maji na sukari...., kama bisi ina chumvi basi huleta kiu na mtu inabidi ashushie na drinks lakini inategemea kama utauza kwenye stand basi juice ni lazima..., lakini kama utauza wholesale kwa watu wenye maduka then hapo huitaji juice....

  Juice probably kuanzia hata huitaji hata 50,000/= na biashara inavyokuwa kubwa na wewe utaongezea mtaji na kuwa more professionally By the way angalia hizo recipes naona upo kwenye simu lakini kuna about 30 different recipes mpaka valentine popcorn heart hii itabidi nikutafute february.... :)
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  gharama inaweza kuwa ndogo kwenye longrun lakini kwa sasa ukiongelea drinks hasa juice watu hawawezi kunywa za moto ina maana hapo tena kutafuta jokofu.
   
 8. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  True if that the case..... then unaweza ukaanza really small kwenye popcorn pekee... lakini hakikisha unazipack vizuri na kuweka address yako na contacts na usidharau supermarket za mitaani go for selling wholesale...., hii itapunguza overheads.. na utakuwa na order za uhakika usisahau kuangalia hiyo link ya recipes..., am sure that will set you apart from the rest.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ahsante kwa ushauri mpendwa.
   
 10. babalao

  babalao Forum Spammer

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 11, 2006
  Messages: 431
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ingia kichwa kichwa anza kidogo kidogo usiweke mtaji mkubwa utajua vizuri kuucheza muziki mambo yakianza ujasiriamali ni vitendo. Ukitaka kujua kuendesha baiskeli ipande ikudondoshe mwisho utajua kuiendesha. Dont procrastinate just do it.
   
 11. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,325
  Likes Received: 19,493
  Trophy Points: 280
  :popcorn::popcorn::popcorn::popcorn::popcorn::popcorn::popcorn::popcorn::popcorn::popcorn:
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ahsante kwa ushauri babalao.
   
 13. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Huyu BL anacho kitabu cha ujasiriamali hadi uwe kama B maarum A.z.a.m.
  Mtafute ujaribu nawe...ukipata utajiri utaambiwa ulikua unauza (unga) wa chapati.
   
 14. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Big up kwa ushauri nasaha ila kuna kitu bado hujatuweka wazi umetupa website ya spices 2nashukuru,je?vifaa vya kutengeza/kuprint contact zake ktk mifuko hiyo ya kuwekea bisi imekaaje au ataweka bisi kwenye mifuko ya Rambo.
   
 15. VoiceOfReason

  VoiceOfReason JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 5,234
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 0
  Nina uhakika Dar kuna kampuni za printing ambazo ukiwapelekea unachotaka wanaweza wakaprint kwenye mifuko...., more proffessional.., lakini sababu ni mwanzo hakuna sababu ya kuingia cost ambazo hazina maana sana..., anaweza akaprint contacts zake kwenye printer ya kawaida (kwenye secretarial services)..., alafu akachukua mifuko transparent (kama wanayouzia barafu, maji, karanga etc lakini mikubwa yake), baada ya hapo akakiweka hicho ki-karatasi ndani ya mfuko pamoja na bisi.

  Umuhimu wa contacts ni kwamba potential customers mfano mtu akila bisi akazipenda anaweza aka-mcontact ili apate order zaidi..,
   
 16. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,688
  Likes Received: 410
  Trophy Points: 180
  Nimekuelewa na nashukuru Mkuu,kazi kwake na biashara yake ya bic
   
 17. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #17
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,830
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  nimeipenda hii thread, coz hata mimi nilikuwa na hili wazo but nikakosa kwa kuanzia. Upande wa wateja nafikiri si changamoto sana cha msingi ziwe tamu zinauzika sana mfano pale mlimani city zinaliwa kwa sana kuanzia watoto, hadi wazee. Maeneo mengine mazuri ni kama karibu na mashule, vituo vya magari na kadhalika. Je wadau vipi kuhusu machine za kutengenezea kwa hapa bongo zinapatikana wapi hasa?
   
 18. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #18
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Nimefurahi sana kwa kuöna watu wenye mawazo mazuri ya biashara na kuamua kushirikiana na wengne,na kupewa mawazo mazuri,
  ndugu yangu ulichoamua kukifanya fanya na utatoboza ktk maisha.
  Pia jaribu kutembelea links na mada zinazohusu mambo ya biashara unaweza kupata mbinu zaidi za biashara yako.
  Tembelea hii blog nayo ni nzuri katika kutoa ushauri kwa watu kama nyie.
  GSHAYO
   
 19. STREET SMART

  STREET SMART JF-Expert Member

  #19
  Jun 2, 2011
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 666
  Likes Received: 144
  Trophy Points: 60
  MKUU HUSNINYO, MIMI NINGEIGEUZA KIDOGO IYO IDEA YAKO: NANUNUA BEST PLOTS ZA KWENYE KONA ZA MITAA THEN NAFUNGUA POPCORN CENTRE ZANGU, PLOTS ZINA PANDA VALUE NA PIA NAPATA CASHFLOW KUTOKA KWENYE POPCORN: HII NI THINKING BIG,WAKATI IDEA YAKO NI AVERAGE THINKING YA SMALL BUSINESS OWNERS. Why be average-think big.
   
 20. Gamaha

  Gamaha JF-Expert Member

  #20
  Jun 2, 2011
  Joined: Jul 17, 2008
  Messages: 2,695
  Likes Received: 752
  Trophy Points: 280
  ha ha mkuu umewaona eeh
   
Loading...