Biashara ya bar


C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Messages
4,783
Points
2,000
C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2011
4,783 2,000
Wakuu,

Kwa wenye ujuzi na uzoefu naomba mawazo yenu juu ya biashara ya Bar. Vitu gani vinatakiwa, vitu gani vya kuzingatia kabla ya kufungua na mahala ambapo panafaa zaidi kwa hizi biashara za Bar. Naombeni ushauri wenu.
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,254
Points
2,000
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,254 2,000
mkuu hiyo pia itategemea wapi unafungua hiyo bar yako!!kuna sehemu jiko halilipi kabisa na sehemu zingine jiko la noah linalipa na sehemu zingine ukiweka noah ndo umeua bar,so location matters.
 
C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Messages
4,783
Points
2,000
C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2011
4,783 2,000
mkuu hiyo pia itategemea wapi unafungua hiyo bar yako!!kuna sehemu jiko halilipi kabisa na sehemu zingine jiko la noah linalipa na sehemu zingine ukiweka noah ndo umeua bar,so location matters.
Mkuu mimkni uamsho sitaweka noah ikawahudumuwangu nataka wawe matata kalio kilo mia
 
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
17,254
Points
2,000
Zamaulid

Zamaulid

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
17,254 2,000
Mkuu mimkni uamsho sitaweka noah ikawahudumuwangu nataka wawe matata kalio kilo mia
ok mkuu jitahidi kwa wahudumu!!si unajua sisi wanywaji twataka care kama wakitu care tutakuja!!!ila tukiwazoea sana tuna sepa!inabidi uwe una wabadilisha kila baada ya mwezi au miezi miwili!!
 
Henge

Henge

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2009
Messages
6,876
Points
1,250
Henge

Henge

JF-Expert Member
Joined May 14, 2009
6,876 1,250
ok mkuu jitahidi kwa wahudumu!!si unajua sisi wanywaji twata care kama wakitu care tutakuja!!!ila tukiwazoea sana tuna sepa!inabidi uwe una wabadilisha kila baada ya mwezi au miezi miwili!!
DUuu na hizi ndo ajila alizowaahidi dada zetu kikwete wafukuzwe baada ya mwezi khaaaaa!
 
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2007
Messages
23,284
Points
2,000
Safari_ni_Safari

Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2007
23,284 2,000
Wewe mwenyewe mnywaji au ushewahi kunywa? Mtaji wako vipi? Je unamiliki jengo au unapanga? Una marafiki wengi?
 

Forum statistics

Threads 1,285,188
Members 494,498
Posts 30,853,059
Top