Biashara ya bajaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya bajaji

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kwayu, Sep 28, 2012.

 1. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #1
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nina hela yangu 10m.ninataka kuiwekeza. naomba mnishauri kama nikinunua bajaji 2 zitalipa wadau.
   
 2. vanmedy

  vanmedy JF-Expert Member

  #2
  Sep 28, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 2,245
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  yeah inalipa,.. Ay nunua hizi pickups mpya za kisasa iwe inabeba mizigo.. Kama upo dar trip fupi ni sh15000 ... Kwa hiyo una uhakika wa kukusanya zaidi ya 70elf per day out of mafuta... Chenji itakayobaki nnua SANLG uifanye bodaboda.. Itakuletea 40,000 week...
  Ni mtazamo tu,...
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Sep 28, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  No usitupe hela, wanaleta hela ngapi a day? piga simple mathematics!
   
 4. b

  ba nso JF-Expert Member

  #4
  Sep 28, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 45
  inalipa sana ukipata dereva mzuri. kwa dar hesabu ya siku ni 15,000. ila mikoani kama mbeya ndio bonge la dili mana kwa siku ni 30,000. dereva akiwa kimeo utajutia.
   
 5. K

  Kwayu JF-Expert Member

  #5
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 8, 2007
  Messages: 487
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kwa mbeya inalipa sana. Kwani kwa siku inalaza 30,000/=. kwa hapa dar ukiwa na dereva mzuri ni 15000 kwa siku.
   
 6. M

  Mbwambo JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2012
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 626
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 33
  HATA MIMI NINGEKUSHAURI SANA UWE MWANGALIFU HIYO BIASHRA UOMBE MUNGU akupatie Driver MUAMINIFU na mwenye hofu ya Mungu
  bila hivyo kaka utaambiwa kila leo sijapata kitu
  Tafakari sana kabla hujaamua
  Vinginevyo kama aliyesema mikoani ni pazuri zaidi
  Mungu akuongoze maana mtaji wako huo inabidi upate biashara itakayokurudishia kitu
   
 7. SPERMATOZOA

  SPERMATOZOA Senior Member

  #7
  Sep 30, 2012
  Joined: Aug 3, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Kumbe mikoani inalipa sana?
   
Loading...