Biashara ya Bajaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Bajaji

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MegaPyne, Jan 4, 2011.

 1. Kuna ambaye anayo experiece na hii biashara nzima ya ki own bajaji. Na wapi zinanunuliwa na kiasi gani na maelezobya aina hiyo.

  Nitashukuru sana kwa michango yenu.
   
 2. m

  matambo JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 728
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  biashara ya bajaj si mbaya sana kama utampata dereva anayejua kutunza pikipiki yake vizuri na asitangulize tamaa ya pesa, na itahitaji usimamizi na ufuatiliaji wa karibu ikiwemo service ya mara kwa mara

  bei ya bajaj kwa sasa ni kati 4.5-5.0 million kutegemeana na aina ya bajaj kama ni 2 stroke au 4 stroke

  kwa maelezo waone kampuni ya car& general wapigie simu namba 0713-316415
   
 3. T

  Taso JF-Expert Member

  #3
  Jan 5, 2011
  Joined: Jun 12, 2010
  Messages: 1,653
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  wewe ni muuza bajaji au mmiliki bajaji?

  maelezo zaidi kutoka kwa muuza bajaji hayasaidii, anataka kuuza, lazima atakuwa jaundiced

  halafu kampuni yako haijatulia, jina "car and general" !?!?

  nilitegemea usema bajaji inaingiza kiasi gani kwa wastani, na business challenges zake, sio kulengesha duka lako la bajaji
   
 4. Matambo,

  Asante sana kwa maelezo yako. Ila ningependa kujua, dereva anapeleka kiasi gani kwa week kwa bosi.

  Kufanyia service ni baada ya kilometer ngapi na ni kiasi gani inarange kwenye service.

  Vitu gani katika bajaji vinatakiwa visimamiwe kwa ukaribu na bossi ambayo kama visipoangalia kwa umakini basi bajaji inaweza kuharibika mapema?

  2 & 4 stroke ndio nini katika bajaji?

  Nashukuru sana...
   
 5. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #5
  Jan 5, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  2 & 4 strokes ni size za injini - yaani ingine ya mapigo mawili na ingine ya mapigo 4. kumbuka kuna engine ya mapigo hadi 6 kwenye magari makubwa.

  Ukubwa wa engine ndiyo ukubwa wa nguvu yake na ulaji wa mafuta unaendana sabamba, kama una gari soma kwenye kadi yako utaona hizo details yaani engine capacity

  Biashara ya bajaji ina mambo mengi sana, si dereva tu, ndugu nakushauri buni kitu kingine achana na Bajaji ungojwa na moyo ule kaka. Kama ni hela ya mkopo basi inakufanya upate presha ya kupanda na kushuka kila mwisho wa siku unapofika.
   
 6. elnin0

  Nimekuelewa kuhusu strokes.

  Kwanini unafikiri bajaji ni ugonjwa wa moyo?
   
 7. f

  furahaeliud Member

  #7
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu bajaj biashara nzuri sana hasa ukimpata mtu mwaminifu
  kwa kawaida hesabu yake ya siku ni 15000 ila kuna jamaa pale kawe yeye ana bajaj 20 yeye hesabu yake anafanya 20000 per day na pia anakarakana yake maalum kwa kutengeneza bajaj zake tu the guy is so so sucessfully na pia huwa anawalipa madereva wake elfu 30 kila mmoja kwa mwezi kama posho
   
 8. f

  furahaeliud Member

  #8
  Jan 6, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 60
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  by the way kwa taarifa zaidi kuhusu wapi zinauzwa source of finance etc call me on 0779000084 sisi kampuni yetu tumefanya research pia huwa tunatoa finance repayment period one year
   
Loading...