Biashara ya bajaji na bodaboda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya bajaji na bodaboda

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by kimafey, Jan 28, 2012.

 1. k

  kimafey Member

  #1
  Jan 28, 2012
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 63
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu humu ndani
  Mimi ni mfanya biashara mdogo na sina muda mrefu tangu nianze biashara, najihusisha zaidi na biashara ya suti za kike ambazo naziuzia mkononi,sina duka ila natafuta wateja maofisini na sehemu mbalimbali nawapelekea, sasa nimepata hela kama 11millioni nafikiria kununua bajaji moja na bodaboda moja ili niziweke katika biashara sijui mnanishaurije katika hili je zinalipa?
  Au ni biashara gani naweza kuanzisha ambayo itaniingizia faida nzuri?
  mpango wangu ni kuwa nataka biashara ya suti ijiendeshe yenyewe na mtaji ukuwe kutokana na faida inayopatikana kwenye suti ndio maana hiyo hela nataka niifanyie biashara nyingine.
  Sijui nimeeleweka?
  Ahasanteni sana nathamini sana michango yenu.
   
 2. J

  JAY2da4 JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2008
  Messages: 207
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kimafey,hongera kwa kuwa mjasiriamali.
  Biashara ya bajaji au bodaboda kama utakua dereva wewe mwenyewe,then go ahead itakulipa sana.Ila kama unategemea kumuweka mtu jioni akuletee hela,basi jiandae kupata ugonjwa wa pressure.

  Ushauri mie naona hiyo biashara ya suti inakulipa sana maana kama umeweza kupata 11millioni kwenye hiyo biashara,naona inalipa sana,ongeza nguvu huko,ikiwezekana fungua duka ili uwe na ofisi yako kabisa.

  Ushauri mwingine ,mara nyingi usiombe mtu ushauri kuwa nifanye biashara gani,hili ni swali linaulizwa na watu wengi sana.
  Aina ya biashara utakayofanya ni wazo ambalo linatakiwa litoke kwa mhusika mwenyewe.Maana tukianza kukutajia aina ya biashara za kufanya kwa hiyo 11milioni,huenda tukajaza kitabu .
   
 3. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Biashara ni nyingi kwa mtaji ulio nao. Kuhusu bajaj na boda boda ni nzuri kama unataka kubakia mjini lakini wapi utapata dereva mwaminifu? I would advise uwe international. Search through the web for markets ya goods zinazo patikana TZ. From mauwa to matunda. The list is endless. Utapata tabu mwanzoni lakini itajisustain. Goodluck.
   
Loading...