Biashara ya Bajaj | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Bajaj

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by RealTz77, Oct 1, 2009.

 1. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #1
  Oct 1, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nawasalimu wakuu woote wana JF.Mwenzenu nimepata kamshiko km 8m sasa ninataka ninunue bajaj najua hapa mjini dar zinatumika sana,naomba kwa yeyote mwenye uzoefu anisaidie ni shs ngapi dereva anatakiwa alete kwa siku?au week? nashukuru naelewa humu ndani wapo wengi wanaofanya hii biashara!!je does it worth?asanteni sana nasubiri majibu hapo chini!!
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Oct 1, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Sijui unataka kuifanyia wapi biashara yako, lakini kwa kule kwetu Tegeta unalamba 15,000 mpaka 20,000 kwa siku. Ni kabiashara kazuri ukimpata dereva mzuri. Maintenance cost yake iko chini sana. Ila ucheze mbali na kina Chenge.
   
 3. w

  wasp JF-Expert Member

  #3
  Oct 1, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mtu wangu angalia huyo dereva utakae mwajiri maana wengi wao wanaua Bajaj kwa makusudi kabisa. Kwa taarifa yako wanachanganya lita moja ya petroli na lita moja ya diesel halafu wanatumia mchanganyiko huo kuendesha Bajaj. Muda sio mrefu Bajaj inaanza kufoka moshi. At the end of the day, dereva anatengeza fedha yake thru many trips per liter of mixed diesel & petrol per day at your expense of high cost of maintenance of the Bajaj. Please Watch out if you want to invest in this project.
   
 4. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #4
  Oct 1, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  okay nafurahi sana wadau kwa mawazo yenu,na nitazingatia hayo yote mlioniambia,especially la dereva ni muhimu sana nalo.nitampeleka course ya integrity
   
 5. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #5
  Oct 1, 2009
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Mkuu tafadhari watafutie nafasi na viongozi wetu wa serikali, watanzania tupo tayari kuwalipia ada.
   
 6. w

  wasp JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2009
  Joined: Aug 19, 2009
  Messages: 206
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  where is the location of the school of integrity for these kind of drivers? Majority are either illitrate or Primary school leavers and bhang smokers having graduated from bicycle ridding. They do not pocess driving licences and do not know traffic rules and regulations. Borrow a leaf from Chenge's accident in which the Bajaj driver disappeared in the thin air todate.
   
 7. M

  Masatu JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2009
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Tafuta mradi mwingine uwekeze pesa zako. Biashara ya Bajaji ugonjwa wa moyo kweli. Madereva wezi, na Bajaji zenyewe ni target kwa waporaji. Usije shangaa ukamuokota dereva wako msitu wa Pande kaning'inizwa huko.
   
 8. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  hata bajaj?nilijua pikipiki pekee,mi nataka bajaj tri-circle mkuu, sasa kama hivyo tena mimi m8 ntafanyia nini?kama sio kuanza kupanga machungwa barabarani? haitoshi hata kodi ya mwaka kariakoo pamoja na mzigo, u see bora kama vipi nivifaidi vi 15000-20000 per day kama vipi ndo iwe ilivyo,8m ndogo sana kuumiza kichwa kuinvest, otherwise iwe ya kupombeka?
   
 9. Mtabiri

  Mtabiri Senior Member

  #9
  Oct 1, 2009
  Joined: Jun 23, 2009
  Messages: 152
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ulianza vizuri sana na hii mada ila sasa busara inaanza kukutoka.Please maintain Business focus yako, usikate tamaa it's too early to think of kupombeka at this juncture. Try do some thing with that 8m,sio ndogo kivile my brother.
   
 10. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #10
  Oct 2, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  nimekupata mheshimiwa,then no turning back
   
 11. Iteitei Lya Kitee

  Iteitei Lya Kitee JF-Expert Member

  #11
  Oct 2, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 589
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  I think Bajaj is a good idea.U invest capital ndogo na pia unapata faida bila cost kubwa.Cha msingi ni kupata mwendeshaji mzuri wa mradi wako huu na uweke malengo yako.Ukipata 15000 per day times 365= 5,475,000 WHICH ni gharama ya manunuzi ya bajaj hiyo baada ya hapo unaanza kula faida.
  Suala la wizi ningekushauri insurance uweke COMPREHENSIVE ili ku secure ur capital
  Good luck bro
   
 12. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2009
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kaka hongera kwa uamuzi wa busara!biashara yoyote ile ni lazima kuwe na risk!cha muhimu ni wewe mwenyewe kuwa risk taker,si unajua tena high risk high return?

  Kuhusu business ya bajaj ni very simple kuiendesha kwake!
  Kuna kitu wanaita perfomance contract!unaandikiana na driver wa hiyo bajaj!makubaliano ni kuwa kila siku shs 20,000 kwa muda wa mwaka mmoja bajaj inakua ni mali yake!

  Akipata ajali ya kizembe imekula kwake unachukua bajaj yako!wala hutakaa kichwa kikuume.

  Mahesabu yake ni hivi kwa mwezi ni 20,000x30=600,000
  Kwa mwaka ni 600,000x12=7,200,000

  Bajaj umenunua milion 4 so unakunja faida ya milion 3.2 kiulainiiiiiii

  Ukiwa na zo kama 2 hv unakula kuku tu.
   
  Last edited: Oct 2, 2009
 13. nzalendo

  nzalendo JF-Expert Member

  #13
  Oct 2, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,875
  Likes Received: 2,680
  Trophy Points: 280
  Huo ni mtaji tosha tukachukue mbao malawi na mie nitaweka hapo another 8 m then tunashusha mbao mombasa kuna watu wana export pale infact baada ya week 3 tunakuwa tume make profit ya 2.8..mil baada ya kutoa cost zote.believe me.kwa hiyo tukipiga pasu kila mtu ana pata 1.4m.kama we ni mtu wa kupombeka toa tena hiyo 4 utabaki na 1 m.piga ua.hutapata chini ya hapo.welcome on board .kama una uchungu wa ku make bakaaa.
   
 14. M

  Manitoba JF-Expert Member

  #14
  Oct 2, 2009
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 240
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jaribu kulima mkuu.

  Mahindi heka moja kulima mpaka kuvuna ikizidi sana 300,000. Hujashika jembe hapo mkuu, ni vibarua na mashine. Ukivuna hata mahindi mabichi 5,000 tu (yanaweza kufika hata 10,000) na ukayauza kwa sh 100 kila moja. Unatengeneza 500,000. Faida 200,000.

  Ukitumia 6M yako waweza kulima heka 20. Faida yako 4,000,000 . Na hii umelima mara moja tu kwa mwaka (miezi mitatu).

  Kwa bajaji ikikaa barabarani siku 5 kwa wiki na bila matatizo yoyote yanoyihitaji spare, na ukichukulia mafuta yote yanawekwa na dreva, utatengenza 4,000,000 kwa mwaka mzima.
   
 15. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #15
  Oct 2, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  oyaaa! nipe mm hiyo 8m, nitakulipa 80,000 kwa wiki kwa mwaka mmoja, then nakurudishia 8m yako.
   
 16. E

  Edo JF-Expert Member

  #16
  Oct 2, 2009
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  gkundi are you serious na proposal yako ya 80k per week? nini security ili ukiingia mitini mtu ajue atapata vipi 8m yake!
   
 17. P

  Patrick Nyemela JF-Expert Member

  #17
  Oct 2, 2009
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Bei ya bajaj ni Tshs 4.5m mpaka Tshs. 5m na madereva hupelekaTshs. 15,000/= kwa siku. Kwa hesabu za haraka haraka unaweza kuona kama mradi mzuri sana lakini ukitulia na kuongea na anaefanya biashara hiyo atakwambia si biashara ya kukimbilia.

  Mapungufu makubwa ya bajaj ni quality ya bajaj na short economic life. Bajaj hazina uimara wa kutosha na baada ya muda mfupi zinaanza kusumbua. Madereva ni tatizo jingine, wanaibebesha bajaj kama pick up.
   
 18. RealTz77

  RealTz77 JF-Expert Member

  #18
  Oct 5, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 742
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mkuu vipi mvua au proper irrigation?kama irrigation sure this is a deal,na well bajaj sina uhakika kuwa ina guarantee ya mda gani!kama ni chini ya 3yrs nayo si deal kivile,well thank u much kwa michango yenu,nadhani tz tunaweza ila mawazo ya kuchangiana mtu unakosa unajikuta wajitosa kichwa kichwa at the end unaua mtaji!! very bad!!
   
 19. mponjoly

  mponjoly Member

  #19
  Oct 5, 2009
  Joined: Oct 4, 2009
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuwa na moyo,jitahidi kupata mtu unayemuamini kama dereva na pia usicheze mbali!!kubali kitu kimoja kwamba piga ua suka lazima atakupiga bao kiasi fulani ila aghalau iwe ni kiwango cha chini!! pia, si unajua wanasema "u have to take risk in ur life, the bigger the risk, the higher the return" , usicheze mbali!
   
 20. k

  kisoti Member

  #20
  Oct 5, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  usirudi nyuma ndugu yangu songa mbele na wazo lako la biashara ya bajaj, huo ndio ujasiriamali wenyewe kwani kila biashara ina risks zake.
   
Loading...