Biashara ya Bajaj | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara ya Bajaj

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Retreat, Jul 18, 2011.

 1. R

  Retreat JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Habari zenu, magreat thinkers!

  Jamani naombeni mawazo yenu kuhusu biashara ya Bajaj, vipi inalipa?

  Ningependa kujua bei halisi kwanza ya kuunua Bajaj ni sh ngapi?, then kama nitampa mtu yaani dereva kwa siku anatakiwa alete hesabu ya sh ngapi (Kwa wiki ni bora zaidi).

  Service ya bajaj ziko vipi.

  Naomba kuwasilisha
   
 2. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Hii bishara sijaifanya mkuu, Ila haina tofauti sana na Teksi au dalala dala.

  Kikubwa inategemea Driver uliyempata. Kuna wakuleta story na wakuleta pesa.

  Ukipata mleta pesa ni biashara nzuri tu. ukipata mleta story utatamani kuiuza hiyo bajaji.

  Bey ya bajaji brand new ni from 4.5m to 6m
   
 3. Lukansola

  Lukansola JF-Expert Member

  #3
  Jul 18, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 5,456
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
   
 4. R

  Retreat JF-Expert Member

  #4
  Jul 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mlachake na Lukansola, nimewapata vizuri wadau. Nadhani nitaifanyia kazi michango yenu. Maana nataka kuaznisha hiyo biashara ila sio vibaya nikipata utaalamu kutoka hapa jamvini, pia nitamtafuta jamaa mmoja wa babaj nipate walau mawili matatu kutoka kwake. Kama kwa siku anapeleka hesabu kiasi gani kwa bosi, na je vipi service ipoje, vitu kama hivyo


  Asanteni sana wakuu.
   
 5. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #5
  Jul 19, 2011
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,856
  Likes Received: 2,017
  Trophy Points: 280
  good idea
   
 6. P

  Parachichi JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Jul 22, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Mkuu kama bado hujanunua hiyo bajaj fanya kitu kimoja!kuna kitu kinaitwa mkataba wa mwaka!mnaandikiana na dereva wa bajaji!kila siku akuletee shs 20,000 kwa mwez ni laki 6!kwa mwaka ni 7.2milion!hapo hakuna story!akileta story mkataba wake unakufa hapo hapo!mnaandikishana hata kwa mwanasheria!mwaka ukiisha tu bajaj inakua ya kwake!wewe unakua umetengeneza faida ya 3.6milion saafi bila stress.

  Ukimpa tu akuletee hesabu bajaj inapakia vitanda,makabati baada ya mwaka mmoja inabd ukauzie fund majiko kama scraper!ka bajaj hakafai!

  Nyingine pia unaweza kununua zile pikipiki za kubebea mizigo!zile siku hiz zinalipa kuliko pick up!bei yake ni sawa tu na bajaji!
   
 7. Congo

  Congo JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Mar 13, 2008
  Messages: 1,274
  Likes Received: 559
  Trophy Points: 280
  asante sana. sikujua hili
   
 8. R

  Retreat JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 211
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Asante mkuu, nimekusoma fresh. Nitalifanyia kazi.
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Jul 20, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  ushauri mzuri parachichi.
   
 10. neggirl

  neggirl JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 4,830
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Kwa Dar bajaji zinapatikana Car N General posta mpya au BAJAJ karibu na TCC. Bei 4.8 - 5m. Maeneo mengi hesabu ni 105,000 kwa wiki. Changamoto ni kwa Dereva, ukimpata kimeo... hesabu haleti, anachangisha zake na familia yake, hajali pikipiki, kipato kitaishia kwenye service. La muhimu ni kutafuta dereva mzuri, then baada ya mwaka mmoja, uza bajaji kabla haijaanza kuzingua.
   
 11. i

  irenedeny New Member

  #11
  Mar 19, 2012
  Joined: Sep 11, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wandugu, ninauza bajaj kwa bei ya million moja mwenye kutaka tuwasiliane
   
 12. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ni pm fasta...
   
 13. Kiresua

  Kiresua JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2012
  Joined: May 13, 2009
  Messages: 1,202
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Mzee ar u sirious? imekaa muda gani? imetembea miliage ngapi!!? mai reaaons for sell off?
   
Loading...