BIASHARA WAKUU: cement,sukari,petrol na diesel vinapatikana,karibuni'

NDUKI

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
3,423
2,414
Kwanza kabisa salaam wakuu...

...pili,niko hapa kuwafahamisha kuhusu biashara tajwa hapo juu kwa atakayehitaji.

Biashara hii inapatikana kwa wingi..............kiwango cha juu ni tani 25,000 na kuendelea,kiwango cha kati ni 12,500 na kiwango cha chini kabisa ni tani 6,500 (metric tonnes).

Kwa yoyete aliye serious ani-pm ili tufanye biashara,

Malipo ni kwa L/C

Karibuni'
 
mkuu hebu andika vizuri kama mfanyabiashara bwana!

1. ni kuuza au kununua au kuhifadhi store
2. je, ninafaidikaje?
3. ninaitaje viambatatishi gani? leseni, certificate, bank a/c tin number etc?
4. ni contract ya muda gani?
5. unapatikana wapi? hiyo kazi itafanyika wapi na wapi?
6. uko under company? yaani una business name? itaje ili tu-verify.

ukishindwa kujibu hayo machache basi wewe ni either:
-pre mature au
-tapeli au
-comedian au
-umetumwa!
 
umeishakuwa mzoefu humu bana, hebu weka details za kueleweka basi, bei, mahali n.k kama alivyoshauri mdau hapo juu
 
mkuu hebu andika vizuri kama mfanyabiashara bwana!

1. ni kuuza au kununua au kuhifadhi store
2. je, ninafaidikaje?
3. ninaitaje viambatatishi gani? leseni, certificate, bank a/c tin number etc?
4. ni contract ya muda gani?
5. unapatikana wapi? hiyo kazi itafanyika wapi na wapi?
6. uko under company? yaani una business name? itaje ili tu-verify.

ukishindwa kujibu hayo machache basi wewe ni either:
-pre mature au
-tapeli au
-comedian au
-umetumwa!

'asante kwa kauli
zako,nafaham yote hayo na
ndo maana nikahitaji
wanunuzi walioko serious na
wanaojijua na kujitambua ni
nini
wanafanya,anyway...........kam
a tunavyojua ndani ya JF kuna
watu huwa wanaingia kwenye
topic ili kukujibu vile
wanavyojiskia thats why
nimeona si mbaya kama kweli
yupo mnunuzi wa serious ani-
pm,na wapo ambao
wameshani-pm tunaendelea
na utaratibu wa jinsi ya
biashara ilivyo,just a PM tu'
 
Back
Top Bottom