Biashara usipoisimamia mwenyewe haiendi

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Biashara ni ngumu hasa usiposimamia mwenyewe.

Kuna rafiki yangu wa karibu nlkua natamani nipate sehemu nzuri nimuweke kwa ajili ya ufugaji jambo ambalo lingekamilika mwaka huu.

Cha kushanganza kabla ya huko nmemuweka asimamia kitu sehemu ndogo tu, kanidanganya bei ya misumari, badala ya elfu 3500 kanunua kwa 5000 na ndo nilimuamini.

Ila ameshajiharibia uamnifu, nitamwambia!
 
Biashara ni ngumu hasa usiposimamia mwenyewe, kuna rafiki yangu wa karibu nlkua natamani nipate sehemu nzuri nimuweke kwa ajili ya ufugaji jambo ambalo lingekamilika mwaka huu...

cha kushanganza kabla ya huko nmemuweka asimamia kitu sehemu ndogo tu, kanidanganya bei ya misumari, badala ya elfu 3500 kanunua kwa 5000 na ndo nilimwamni ila ashajiaribia uamnifu ni nitamwambia
Sasa biashara inaingiaje tena hapo
We sema uaminifu ndo mgumu
 
Biashara ni ngumu hasa usiposimamia mwenyewe, kuna rafiki yangu wa karibu nlkua natamani nipate sehemu nzuri nimuweke kwa ajili ya ufugaji jambo ambalo lingekamilika mwaka huu...

cha kushanganza kabla ya huko nmemuweka asimamia kitu sehemu ndogo tu, kanidanganya bei ya misumari, badala ya elfu 3500 kanunua kwa 5000 na ndo nilimwamni ila ashajiaribia uamnifu ni nitamwambia
Wee mwenyewe inaonekana sio mwaminifu pia ndo maana akataka kukupiga..rafiki yako baada ya kuanza kuongea nae umsiklize kwanza unakuja kumsema uku kwanza alafu ndo umwambie yeye...biashara huwezi ww,huna kifua na uvumilivu
 
Back
Top Bottom