Biashara United wamekwama tena kifedha. Mkuu wa mkoa yuko wapi?

Zile Hela ziliahidiwa na RC Hapi ila zikiwa zinatokea Mfukoni mwa GSM na asikudanganye Mtu Hela ya Rais Samia ( ya Hazina Serikalini ) haichezewi hivyo na Mtu kama Ally Hapi anajua fika kuwa Bi. Hangaya hamkubali na anamtafutia tu Kosa ili nae 'amlime' kama alivyofanya kwa Yule wa Mbeya kisha akahamishiwa Mwanza ambaye alikuwa 'akimvizia' Siku nyingi tu kwakuwa nae alikuwa ni 'Team Mkemia wa COET UDSM' aliyeondoka ghafla Ulimwenguni.

COET Udsm hakuna hicho kitu! Na wala huyo mkemia unayesema alitoweka ulimwenguni hajawahi kusomea hicho kitu COET kwa kuwa hakipo!
Wewe utakuwa ulihadithiwa tu! Huyo labda alikuwa akienda ile Cafteria kupata RB tu!!
 
Wachezaji wenyewe legelege wale ulitaka wasiumie

Kwamba huo mchezo haukuwa na refa watu wanaumizwa makusudi refa amekaa tu
Acheni lawama za kitoto toto, wawa huwa anawachezea hovyo wenzake (tena makusudi) na TFF na marefa hukaa kimya nani amewah lalamika

Wajengeni wachezaji wenu wawe na stamina sio vile wachezaji laini hata wapemba Wana nafuu
Mkuu ebu tumilia akili japo kidogo ! Kazi ya refa uwanjani ni nini? .Refa anatoa maamzi/hukumu pale kosa linapokuwa limetendeka na kosa likishatendeka tayari madhara kama yapo yanakuwa yashatendeka..! Au unahishi refa ni mtabili kwamba mchezaji flani atacheza rafu kwahiyo nimuonye mapema..!!?
 
Natumia akili sana kuwaza unavyo lalama wakati refa yupo zingekuwa ni rafu za kuumiza kama msemavyo kungekuwa na Kadi za njano 5+, nyekundu 3+ (kwa maana mchezo ulikuwa na rafu nyingi fanya kuleta takwimu za mchezo huo
 
Nimefurahi Biashara United kutolewa kwa ukata.
Simba tulijitahidi kuwawezesha kimataifa hata shukrani hawakutoa.
Walipaswa kutupigia makofi siku ya mechi nao.
Kitendo cha kukamia kutuumizia wachezaji wetu kimewagharimu.
Malipo ni hapa hapa
 
Zile Hela ziliahidiwa na RC Hapi ila zikiwa zinatokea Mfukoni mwa GSM na asikudanganye Mtu Hela ya Rais Samia ( ya Hazina Serikalini ) haichezewi hivyo na Mtu kama Ally Hapi anajua fika kuwa Bi. Hangaya hamkubali na anamtafutia tu Kosa ili nae 'amlime' kama alivyofanya kwa Yule wa Mbeya kisha akahamishiwa Mwanza ambaye alikuwa 'akimvizia' Siku nyingi tu kwakuwa nae alikuwa ni 'Team Mkemia wa COET UDSM' aliyeondoka ghafla Ulimwenguni.
😂😂 Aisee Mkemi wa COET UDMS ujue alikuwa mwanasimba mwenzako ujue
 
TFF imesema inasubiri majibu kutoka Shirikisho la Soka Afrika (CAF) juu ya ombi la kusogeza mbele mechi ya Biashara United dhidi ya Al Ahly Tripoli ya Libya.

Hata hivyo, kumekuwepo taarifa kwamba Al Ahly imepewa alama 3 za mchezo huo kufuatia Biashara United kutofika uwanjani. https://t.co/ZBZ2LZ16Lq
 
Back
Top Bottom