Biashara: Ulifeli vipi

NapigA

Member
Dec 6, 2018
40
9
Unaweza kushare na wadau biashara uliyofanya alafu ikashindikana ili wadau wajifunze. ..karibu
 
Unaweza kushare na wadau biashara uliyofanya alafu ikashindikana ili wadau wajifunze. ..karibu
Duka la nguo za kina mama Madera/baibui yaani Kuna viumbe wana jua kulalamika wakija dukani mtu ana taka umuuzie dera bei ambayo hata wewe hujanunua hivyo jumla ila nimejifunza kwenye biashara usiwe mtu wa huruma ilinishindwa kwa kweli.
 
biashara ya duka inaitaji uangalizi na umakini sana yaani kama sio wewe muuzaji basi mweke mke wako vinginevyo utafunga kabla ya miezi ata sita
 
Kijibanda cha utengenezaji furniture nahisi ni sababu ya kuamini sana vijana na kuwapa Uhuru uliopitiliza..kiasi kwamba ukiwapa kazi waifanye pasipo kuwafuatilia wanapokea kazi nyingine (binafsi) wanafanya siku uliyompangia mteja aje afuate mizigo yake unakuta hakuna kilichofanyika...mwishowe kutiwa hasara tu
 
Back
Top Bottom