masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,879
- 13,163
Mzee wa Upako anavutia sadaka
Kutumia Jina la Mungu kuiba kuna mwisho wake.Juzi kasema ana magari ya kifahari tu na kusema hana gari la kijapan. Akawahakikishia kuwa walio mbele yake watakuwa kama yeye! Wazidi kutoa fungu la kumi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ****** yeye anatoa kwa nani. mijitu inashangilia tu!!
nakumbuka sana eneo hilo coz ilikua njia yangu nikiwa napiga shato pori