BIASHARA kuu ntakazo fanya baada ya kuzamia jijini.

Katika harakati za utafutaji nimeona michongo yangu kwa % kubwa itafanikiwa nikizamia jiji kuliko huku nilipo. Na kwakua ndani ya Hilo jijin nimewahi kufika na kuifaham baadhi ya mitaa nikaona pia mzunguko wa fedha ni mkubwa kuliko sehem nilipo hivyo basi nimeamua kuzamia jini hivi KARIBUNI na hii hapa chini ndo plani zangu baada ya kufika jijini.

1:huduma za kifedha. Hi Ni biashara ambayo nikifika nitaifanya ili niweze kulipa gharama zingine za maisha kwa mwezi. Kama kodi.umeme maji n.k

2: wakati nikiwa nimefungua biashara ya huduma za kifedha, nitaanzisha kisehem Cha chips ambako nitaweka dogo akiendeshe. Kitakua jirani na sehemu ninayo to huduma za kifedha ambapo itakua vyepes kukagua.

3: kuchongesha vitololi vya kubebea mizigo na kuvikodisha ambapo ntakua napata 3000 kwa siku(Hili wazo nimelitoa humu jamiiforum)

4: kuanzisha biashara ya dagaa kutoka ziwa Victoria na kuwauza kwa jumla, hii ni kutokana na baba yangu Ni mvuvi wa dagaa na samaki(anamitumbwi) kwaio ntakua nachukulia kwake Bei cheap, kwakua mie mwanae na atanisaidia kuzituma kwa uaminifu maana hua anawatumia samaki watu wa dodoma.

5:Kuna biashara moja ya kukopesha hua nampango wa kuianzisha, sikopeshi mtu asiye na biashara nitakopesha mjasiriamali na kiwango Cha kwanza Ni 50,000/= ambapo atakua anarejesha 2000 kila siku kwa mwezi 60,000/ lakin pia nitamuuzia fom 5,000/=. Lakin pia hii biashara nitaifanya wakati nimekua mzoefu wa kutosha na kuwatambua vyema wateja wangu.

6: Nina page Facebook ya kishabiki ya yanga yenye wafuasi 77 elfu, inayo jihusisha na kutoa maudhuhi ya yanga, nimepanga kupitia hiyo naweza kuanza kuuza jezi na kutangaza kupitia page hiyo.

7: Baada ya kufika mjini nitakua naingia humu jamvi kuchungulia wachangiaji wa Uzi huu na kuwapa mrejesho.

Kwa mawazo haya niliyo nayo nitatoboa mji au nijipange kivingine? Kama unakmcha kuongeza au kushauri ili Uzi upendeze tia chumvi kidogo.

Nini maoni yako!?
Ni Jiji gani hilo unalo hamia? Kabul, Kandahar, au Bujumbura? Kila la heri mkuu, na utuletee kweli mrejesho kama ulivyo ahidi ili na sisi tufuate nyayo zako.

Pia usisahau kujiepusha na anasa! Maana utashindwa mapema sana kuyafikia hayo malengo yako kwa wakati muafaka.
 
Katika harakati za utafutaji nimeona michongo yangu kwa % kubwa itafanikiwa nikizamia jiji kuliko huku nilipo. Na kwakua ndani ya Hilo jijin nimewahi kufika na kuifaham baadhi ya mitaa nikaona pia mzunguko wa fedha ni mkubwa kuliko sehem nilipo hivyo basi nimeamua kuzamia jini hivi KARIBUNI na hii hapa chini ndo plani zangu baada ya kufika jijini.

1:huduma za kifedha. Hi Ni biashara ambayo nikifika nitaifanya ili niweze kulipa gharama zingine za maisha kwa mwezi. Kama kodi.umeme maji n.k

2: wakati nikiwa nimefungua biashara ya huduma za kifedha, nitaanzisha kisehem Cha chips ambako nitaweka dogo akiendeshe. Kitakua jirani na sehemu ninayo to huduma za kifedha ambapo itakua vyepes kukagua.

3: kuchongesha vitololi vya kubebea mizigo na kuvikodisha ambapo ntakua napata 3000 kwa siku(Hili wazo nimelitoa humu jamiiforum)

4: kuanzisha biashara ya dagaa kutoka ziwa Victoria na kuwauza kwa jumla, hii ni kutokana na baba yangu Ni mvuvi wa dagaa na samaki(anamitumbwi) kwaio ntakua nachukulia kwake Bei cheap, kwakua mie mwanae na atanisaidia kuzituma kwa uaminifu maana hua anawatumia samaki watu wa dodoma.

5:Kuna biashara moja ya kukopesha hua nampango wa kuianzisha, sikopeshi mtu asiye na biashara nitakopesha mjasiriamali na kiwango Cha kwanza Ni 50,000/= ambapo atakua anarejesha 2000 kila siku kwa mwezi 60,000/ lakin pia nitamuuzia fom 5,000/=. Lakin pia hii biashara nitaifanya wakati nimekua mzoefu wa kutosha na kuwatambua vyema wateja wangu.

6: Nina page Facebook ya kishabiki ya yanga yenye wafuasi 77 elfu, inayo jihusisha na kutoa maudhuhi ya yanga, nimepanga kupitia hiyo naweza kuanza kuuza jezi na kutangaza kupitia page hiyo.

7: Baada ya kufika mjini nitakua naingia humu jamvi kuchungulia wachangiaji wa Uzi huu na kuwapa mrejesho.

Kwa mawazo haya niliyo nayo nitatoboa mji au nijipange kivingine? Kama unakmcha kuongeza au kushauri ili Uzi upendeze tia chumvi kidogo.

Nini maoni yako!?
Kuna hii biashara iko njenje na haijastukiwa na wengi..ukiweza ifanye.. Ni masalia ya tairi na mipira yake
IMG_20210821_150059_800.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom