Biashara Kumi (10) Unazoweza Kuanzisha na Kufanikiwa Kimaisha

Nadhani biashara ya kununua mazao na kuweka stock huifahamu, unaisikia tu. Ni biashara moja ya kipumbavu sana. Unaweza nunua mpunga wa 5M ukaa miezi6 ukauza ukapata faida ya 1M fikiria mtaji wa 5M upate faida ya 1M kwa miezi 6 wakati kuna biashara ukiwa na 5M kila mwezi unatengeneza 1M.

Kama ipi ndugu yangu, ....! naomba unifungue macho maana nimepigika balaa
 
Nadhani biashara ya kununua mazao na kuweka stock huifahamu, unaisikia tu. Ni biashara moja ya kipumbavu sana. Unaweza nunua mpunga wa 5M ukaa miezi6 ukauza ukapata faida ya 1M fikiria mtaji wa 5M upate faida ya 1M kwa miezi 6 wakati kuna biashara ukiwa na 5M kila mwezi unatengeneza 1M.
Naomba kujua hiyo biashara ya kuniingizia 1ml kwa mwezi tafadhali
 
Mkuu acha uongo , Sasa hivi ifakara wanauza gunia moja la mpunga la kilo 100 kwa shilingi 60,000 ... Kwa hiyo ukiwa na milion 5 unachuua magunia 84 hivi.

Mwezi wa kumi na mbili gunia huuzwa mpaka laki 1 na ishirini.

Gharama yako ni kuweka stoo huko ifakara ambapo ni tsh 2000 kwa gunia moja ambapo Ni lifetime cost.

Ninachojua mpunga unaweza kukurejeshea hela yako almost Mara 2.
Mwezi wa 12 ndo huu mkuu.
Vipi game inaendaje huko ..?
 
Nadhani biashara ya kununua mazao na kuweka stock huifahamu, unaisikia tu. Ni biashara moja ya kipumbavu sana. Unaweza nunua mpunga wa 5M ukaa miezi6 ukauza ukapata faida ya 1M fikiria mtaji wa 5M upate faida ya 1M kwa miezi 6 wakati kuna biashara ukiwa na 5M kila mwezi unatengeneza 1M.
Itaje hiyo biashara mkuu na sisi tunufaike
 
HAHAHAHAHAA
HUWEZ kutoka kimaisha kwa biashara hizo zaid ya kupata ela ya kula tu na majitaj mengine madogo madogo.

Nilifikiri utazungumzia biashara ya kununua mazao kisha uweke stoku ili uuze pindi bei ikipanda. Hii biashara itakutoa kuliko hiyo ya kwako.
...ww inaonekana hujui kabisa risk za mazao, fanya research sana
 
Mkuu acha uongo , Sasa hivi ifakara wanauza gunia moja la mpunga la kilo 100 kwa shilingi 60,000 ... Kwa hiyo ukiwa na milion 5 unachuua magunia 84 hivi.

Mwezi wa kumi na mbili gunia huuzwa mpaka laki 1 na ishirini.

Gharama yako ni kuweka stoo huko ifakara ambapo ni tsh 2000 kwa gunia moja ambapo Ni lifetime cost.

Ninachojua mpunga unaweza kukurejeshea hela yako almost Mara 2.
Ingekuwa ni rahisi hivyo watu wote wa huko wangekuwa matajiri. Ukweli ni kwamba kila biashara haikosi changamoto. Kwanza aina hiyo ya biashara kuweka stock imepitwa na wakati. Labda kama wewe umesha develop kwamba una maduka yako ya jumla una mashine zako, ndo unaweza kufanya hivyo.
 
Nadhani biashara ya kununua mazao na kuweka stock huifahamu, unaisikia tu. Ni biashara moja ya kipumbavu sana. Unaweza nunua mpunga wa 5M ukaa miezi6 ukauza ukapata faida ya 1M fikiria mtaji wa 5M upate faida ya 1M kwa miezi 6 wakati kuna biashara ukiwa na 5M kila mwezi unatengeneza 1M.
Uko sahihi sana
 
Back
Top Bottom