Biashara kariakoo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara kariakoo

Discussion in 'Kilimo, Ufugaji na Uvuvi' started by Penelope, Sep 5, 2012.

 1. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #1
  Sep 5, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 654
  Likes Received: 345
  Trophy Points: 80
  Ivi jamani niambieni wenye maduka kariakoo ni wengi,ushindani upoje na wanafaidika?Biashara ya kuuza empty cds,cd covers,usb flash disc kwa jumla na reja reja mnaionaje?.mawazo yenu tafadhali.
   
 2. s

  sithole JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 304
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Mkuu kariakoo tatizo ni kodi!yanh ukipata kiuchochoro kwa mwez mtu anataka laki 8,hapo anakuambia umlipe kwa mwaka yaani 800,000x12=9,600,000 cash. Ikiwa kubwa kubwa unalipia hadi milion 2 per month. hizo ndio changamoto za kariakoo mkubwa!
   
 3. chash

  chash JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Nadhani hiyo biashara ingelifanya vizuri zaidi karibu na vyuo hasa chuo kikuu kama ni Dsm au Dodoma. Ongeza hapo na typing na printing kwa bei poa na pia mpesa/tigo/airtel/zantel itakuwa imekamilika kuwahudumia wanafunzi.
   
Loading...