Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Nina mtaji wa laki 9 nataka kuanzisha biashara. kwa mchanganuo naombeni ushauri wenu ni biashara gani ambayo naweza fanya kwa mtaji huo? Nipo Dar na sijapanga
Tafuta bucha Anza kuuza utumbo nunua kabat refu la kioo mizan ndogo nenda machinjion nunua utumbo njoo omba eneo mbele ya bucha uza kg ya utumbo elf 4 had 5 Kaz kwako
 
Habarini ndugu zangu, nilikuwa naomba nisaidiwe msaada wa kimawazo ya biashara kutoka kwenu ndugu zangu.

Hapa nilipo nina kiasi cha shilingi laki moja na nusu, so nilikuwa naomba msaada wa Wazo la biashara ambalo litaweza kufit kutokana na hiki kiasi cha pesa nilichonacho.
Mimi sio mtu wa biashara ndogo lakini toka nifilisike nilijua ukubwa wa biashara ya ndizi,malimao ,machungwa (matunda na mboga za majani na hata karanga)
 
Hahahahahahaha tupe uzoefu mkuu maana namimi nakaribia kufilisika
Nilikuwa nafanya biashara zangu za uwakala mpesa,tigopesa nk,Tozo zilivyokuja,frem likapanda bei nikaona kuwa Sasa kamisheni ni ndogo kuliko gharama za uendeshaji ofisi,ikabidi niende sokoni na elfu 50 nikanunua matunda ,nkatengeneza meza nje maisha yakaenda vizuri faida Kama 8k per day ipo na haizuii mishe zingine
 
Nilikuwa nafanya biashara zangu za uwakala mpesa,tigopesa nk,Tozo zilivyokuja,frem likapanda bei nikaona kuwa Sasa kamisheni ni ndogo kuliko gharama za uendeshaji ofisi,ikabidi niende sokoni na elfu 50 nikanunua matunda ,nkatengeneza meza nje maisha yakaenda vizuri faida Kama 8k per day ipo na haizuii mishe zingine
Eeh hapo uhakika yani 8K hela nzuri sana mbona
 
mbona biashara nyingi tu.
1. Uza matunda, miwa, juice,
2. Kaanga samaki
3. Uza karanga
 
Nina mtaji wa laki tano nianzishe biashara gan?
Unatafuta wakukejeli tu
Kwa kiasi hicho unahitaji kuangalia mazingira uliyopo kuna nini wenzako wanafanya ndicho unachoweza kufanya hata wewe. Ushauri wa biashara ya kufanya ni kama ingekua ni pesa nyingi kiasi ungesema umetafiti mazingira uliyopo hakuna mradi unaofikia mtaji huo

Chukua hii, kama una eneo nunua vifaranga wa kuku chotara 100 utap kwa 150,000 tumia kiasi kilichobaki kuwatunza, wakifika miezi mitatu utauza sh 10,000 kila kuku mmoja. Ukihitaji ushauri nirudie nitakusaidia sihitaji unilipe hata shilingi moja
 
Nina mtaji wa laki tano nianzishe biashara gan?

Una kipaji gani?
1 kuna biashara lazima uwe mchangamfu.
2 kuna biashara zinahitaji connection.
3 kuna biashara za kurandisha na za kukaa.
4 kuna biashara zinahitaji location.
5 kuna biashara za mjini na nje ya mji.
Jee wewe biashara ipi umewaza mpaka sasahivi unataka kufanya?


Lunatic
 
Tafuta kima Cha chini $50 utengeneze $5 kila siku isipokuwa jumamosi na jumapili ni siku ya kulipa kwa walioomba kutoa Pesa kwenye kampuni. Karibu. Inbox number ya WhatsApp tuelekezane.
 
Back
Top Bottom