Biashara in shughuli yoyote ile inayofanywa kwa lengo la kupata faida

Vindaniel

New Member
Jul 16, 2021
1
20
BIASHARA
Biashara in shughuli yoyote ile inayofanywa kwa lengo la kupata faida

SIFA ZA MFANYABIASHA
1.kufutilia mwenendo mwenendo was bei
2.kuwa na uhakika na huduma kwa wateja ,kutoa bei nzuri kwa wateja
3.kukusanya taarifa za mwenendo wa wateja
4.kupokea haraka mrejesho na ufanisi
5.kuuza na kununua kwa wakati wrote

.MAMBO YA KUZINGATIA KWENYE BIASHARA.
1.Kutambua wateja
2.kutambua vizuri ukubwa wa eneo ambalo wateja wanapatikana
3.kufahamu mahitaji ya wateja
4.kufahamu wauzaji walipo

.NAMNA YA KUTAMBUA WATEJA.
1.akina nani
2.wanafanya nini
3.wananunua wakati gani
4.wanategemea nini
5.wanafikiria nini kuhusu washindani wako
6.wanatarajia kupata huduma gani kutoka kwako

.UWEZO WA KUSIMAMIA BIASHARA
Kupanga gharama za biashara,kukokotoa kiasi cha fedha ulichotumia katika kununua bidhaa katika biashara yako

.AINA ZA GHARAMA
1.gharama za moja kwa moja
2.gharama zisizo za moja kwa moja

.MANUFAA YA KUFAHAM GHARAMA ZA BIASHARA
.Kupanga bei
.kufahamu kama unapata faida au hasara
.kufahamu vitu vinavyo kugharimu sana katika biashara

.MASOKO
.ni wateja au wanunuzi wa bidhaa zako
.ni shughuli zote zinazofanyika katika kuongeza mapato
.ni jinsi ya kuwaridhisha wateja na kutengeneza faida kwa kuwaletea bidhaa au huduma wanayohitaji

.KUONGOZA MAUZO
.bidhaa
.bei
.banda/duka/eneo la kufanyia biashara
.bango

.KUMJALI MTEJA
.Hamasa
.kubali kukataliwa na mteja katika mchakato wa kuuza
.hudumia wateja kwa wakati
.kuwa mpole na mkarimu
.kuwa mvumilivu
.hudumia wateja kwa wakati wote


.MAKATAZO
.Usibishana na wateja
.usilazimishe mteja kununua kitu asichohitaji
.usinywe,kula wala kuvuta wakati unahudumia mteja
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom