Biashara haziendi awamu hii, hoteli kubwa Kariakoo nayo inauzwa

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
1,817
4,058
Nyingine zinageuzwa hosteli, nyingine zinapigwa mnada na benki, hii mwenye nayo anaiuza
mabasi na sheli nayo yanauzwa, waliokuwa na ndoto za kuwekeza sasa wameona ni bora kufungia fedha zao benki wakala riba tu... kuwekeza Tanzania kwa sasa ni kujitafutia matatizo
hayo mapato ya TRA sijui yanapatikana wapi?

WhatsApp Image 2016-11-26 at 5.24.14 PM.jpeg
 
Nyingine zinageuzwa hosteli, nyingine zinapigwa mnada na benki, hii mwenye nayo anaiuza
mabasi na sheli nayo yanauzwa, waliokuwa na ndoto za kuwekeza sasa wameona ni bora kufungia fedha zao benki wakala riba tu... kuwekeza Tanzania kwa sasa ni kujitafutia matatizo
hayo mapato ya TRA sijui yanapatikana wapi?

View attachment 439873
Kama hakuna pesa mbona anaweka bei ya kuuzia watu watazitoa wapi hizo pesa za kununulia?katika biashara ya hotel kuna msimu na mda sio msima,kipindi cha msimu unatakiwa kusave ili kipindi sio msimu uwe na balance,nani atainunua kila mtu hana pesa mwambie kabisa asituchanganye!
 
afadhali ndoa za watu zitarejea kwenye mstari, maana wengi wao walikua wanalla huko walidanganya wako safarini. na kupelekea ndoa nyingi kuporomoka
 
Kama hakuna pesa mbona anaweka bei ya kuuzia watu watazitoa wapi hizo pesa za kununulia?katika biashara ya hotel kuna msimu na mda sio msima,kipindi cha msimu unatakiwa kusave ili kipindi sio msimu uwe na balance,nani atainunua kila mtu hana pesa mwambie kabisa asituchanganye!
pesa zipo kwa baadhi ya watu, ila wengi hawana, so wale wenye nazo wanawekeza kwa namna ambayo ni safe kama kununua majengo, kuweka benk na sio biashara za luxury
 
hivi kwani hizi business hazikuwepo wakati wa kikwete?? something is extragated here..nakumbuka biashara kwa octa watu wanauza na kununua estates of auch amount na haikuwa big deal...anyway wacha msukuma anyoooshe if its so.. magu is still the finest president of all time in Tz
 
Nyingine zinageuzwa hosteli, nyingine zinapigwa mnada na benki, hii mwenye nayo anaiuza
mabasi na sheli nayo yanauzwa, waliokuwa na ndoto za kuwekeza sasa wameona ni bora kufungia fedha zao benki wakala riba tu... kuwekeza Tanzania kwa sasa ni kujitafutia matatizo
hayo mapato ya TRA sijui yanapatikana wapi?

View attachment 439873

Mwenye hotel hii anaonekana ni jipu, ukichunguza pesa zake zilikuwa za dili. CASH ONLY. NANI ANA PESA CASH KAMA HIZO. TANZANIA ILIKUWA IKIONGOZWA NA BIASHARA FEKI, HAZIENDELEI BILA DILI NDIYO MAANA BIASHARA zinakufa.

Ni kama BIASHARA ya Mbowe, ilikuwa ikionekana kubwa na kila mtu alifikiri Mbowe ni tajiri amezariwa kwenye utajiri, kumbe BIASHARA ilikuwa inaendeshwa kwa dili, kodi ya nyumba pesa za wananchi billion 1.3 hazilipwi.

Hii ni kodi ya nyumba tu, sijui kama alikuwa analipa kodi ya mapato, hakudaiwa wala kuguswa mpaka serikali ya Magufuli ilipoingia, a no nonsens government.

Uchumi wa Tanzania SERIKALI iliyopita ulikuwa uchumi feki, mteja wa mabiashara yote ilikuwa ni serikali pesa za watu wengi zikilisha watu wachache.

BIASHARA za ukweli zitaendelea biashara za dili zitapolomoka moja moja.
 
Mwenye hotel hii anaonekana ni jipu, ukichunguza pesa zake zilikuwa za dili. CASH ONLY. NANI ANA PESA CASH KAMA HIZO. TANZANIA ILIKUWA IKIONGOZWA NA BIASHARA FEKI, HAZIENDELEI BILA DILI NDIYO MAANA BIASHARA zinakufa. Ni kama BIASHARA ya Mbowe, ilikuwa ikionekana kubwa na kila mtu alifikiri Mbowe ni tajiri amezariwa kwenye utajiri, kumbe BIASHARA ilikuwa inaendeshwa kwa dili, kodi ya nyumba pesa za wananchi billion 1.3 hazilipwi. Hii ni kodi ya nyumba tu, sijui kama alikuwa analipa kodi ya mapato, hakudaiwa wala kuguswa mpaka serikali ya Mahufuli ilipoingia a no nonsens government. Uchumi wa Tanzania SERIKALI iliyopita ulikuwa uchumi feki, mteja wa mabiashara yote ilikuwa ni serikali pesa za watu wengi zikilisha watu wachache. BIASHARA za ukweli zitaendelea biashara za dili zitapolomoka moja moja.
Roho mbaya ya kimaskini! Wewe kwako kila mtu ni jipu? Unataka upangie watu maisha yao? Unajua mwenye hiyo hoteli anauza kwa sababu gani....kama anataka aondoke akawekeze mahali pengine hata nje ya nchi utajuaje? Mnakaririshwa kuchukia wenye fedha utafikiri fedha hizo zitageuka kuwa zenu! Mtaendelea kuwa maskini hivyo hivyo!
 
-Bus zinazouzwa ni kampuni gani, jina?
-Na hiyo sheli inayouzwa ni ipi?
Biashara zinahitaji ubunifu zaidi hasa kwa awamu hii
 
Roho mbaya ya kimaskini! Wewe kwako kila mtu ni jipu? Unataka upangie watu maisha yao? Unajua mwenye hiyo hoteli anauza kwa sababu gani....kama anataka aondoke akawekeze mahali pengine hata nje ya nchi utajuaje? Mnakaririshwa kuchukia wenye fedha utafikiri fedha hizo zitageuka kuwa zenu! Mtaendelea kuwa maskini hivyo hivyo!

Mbona umekasirika? Jamani Chabusaru ama ukweli unauma? Hakuna mutu masikini, MASIKINI ni yule mtu anaulemavu ana ANA afya mbaya ama mvivu hawezi kufanya kazi. Kila mtu ni tajiri,lakini watu wanakuwa MASIKINI kwasababu wezi wanaojiita viongozi na WAFANYA BIASHARA feki wanatufilisi kwa kutuiibia ndiyo maana wengi wetu ni masikini kwa kuwa tunadhurumiwa na wachache. Kama wewe siyo mmoja wa wadhurumaji basi usikasirike. Na kama wewe ni jipu ama umefaidika kwa BIASHARA za dili basi badilika fanya kazi ama fanya biashara halali.
 
Back
Top Bottom