Biashara haziendi awamu hii, hoteli kubwa Kariakoo nayo inauzwa

Mbona umekasirika? Jamani Chabusaru ama ukweli unauma? Hakuna mutu masikini, MASIKINI ni yule mtu anaulemavu ana ANA afya mbaya ama mvivu hawezi kufanya kazi. Kila mtu ni tajiri,lakini watu wanakuwa MASIKINI kwasababu wezi wanaojiita viongozi na WAFANYA BIASHARA feki wanatufilisi kwa kutuiibia ndiyo maana wengi wetu ni masikini kwa kuwa tunadhurumiwa na wachache. Kama wewe siyo mmoja wa wadhurumaji basi usikadirike. Na kama wewe ni jipu ama umefaidika kwa BIASHARA za dili basi badilika fanya kazi ama fanya biadhara halali.
Nakereka sana na nyimbo za majipu, huku nchi ikizidi kuzama kwa siasa uchwara! Na wewe umenikera kumwita mtu jipu au mpiga dili kwa sababu tu ameamua kuuza "asset" yake. Mtu humjui wala hakujui, anaamua kuuza asset yake wewe unaibuka kwenye keyboard kumuita jipu na mpiga dili. Kwanini mnakubali kugeuzwa waimba nyimbo chonganishi wakati majipu akina Lugumi wanazidi kutanua? Badala ya kukomalia akina Lugumi, Escrow ambayo inazidi kukukwangua kila siku hata wewe mwenyewe kila siku, wewe unakurupuka na mtu ambaye ameamua kuuza chake. Umenikera sana Mama Obama, samahani lakini!
 
Mwenye hotel hii anaonekana ni jipu, ukichunguza pesa zake zilikuwa za dili. CASH ONLY. NANI ANA PESA CASH KAMA HIZO. TANZANIA ILIKUWA IKIONGOZWA NA BIASHARA FEKI, HAZIENDELEI BILA DILI NDIYO MAANA BIASHARA zinakufa. Ni kama BIASHARA ya Mbowe, ilikuwa ikionekana kubwa na kila mtu alifikiri Mbowe ni tajiri amezariwa kwenye utajiri, kumbe BIASHARA ilikuwa inaendeshwa kwa dili, kodi ya nyumba pesa za wananchi billion 1.3 hazilipwi. Hii ni kodi ya nyumba tu, sijui kama alikuwa analipa kodi ya mapato, hakudaiwa wala kuguswa mpaka serikali ya Mahufuli ilipoingia a no nonsens government. Uchumi wa Tanzania SERIKALI iliyopita ulikuwa uchumi feki, mteja wa mabiashara yote ilikuwa ni serikali pesa za watu wengi zikilisha watu wachache. BIASHARA za ukweli zitaendelea biashara za dili zitapolomoka moja moja.
kwa hiyo sasa hivi wanafaidika wengi?
 
1.8bn cash?! Kwahiyo nikodi Canter kuleta hiyo cash?
Na unaitoa kwenye bank gani hiyo amount kwa cash? Nadhani kama alivyoelezea mdau mmoja hapo juu, itakua ana maana malipo yawe taslimu siyo kidogo kidogo. Hii lugha ilikuja kwa meli sasa watu wanaivamia bila kuijua vizuri. Hakuna bank itatoa amount hiyo, hayo yaliwezekana kwa ESCROW account tu kwa sababu ya "nguvu" iliyotumika.
 
Mkuu zama hizi kila mfanya biashara lazima atachapika tu (ila watatofautiana ktk kuhimili bakora hiyo) bila kujali ni biashara ya kupiga dili au la...Kwani kama biashara si ya kupiga dili hao customers wake wanatoka nje ya nchi?
 
Nyingine zinageuzwa hosteli, nyingine zinapigwa mnada na benki, hii mwenye nayo anaiuza
mabasi na sheli nayo yanauzwa, waliokuwa na ndoto za kuwekeza sasa wameona ni bora kufungia fedha zao benki wakala riba tu... kuwekeza Tanzania kwa sasa ni kujitafutia matatizo
hayo mapato ya TRA sijui yanapatikana wapi?

View attachment 439873
Mi nna gari land cruizer macho naomba nivunje na hii hoteli
 
Mwenye hotel hii anaonekana ni jipu, ukichunguza pesa zake zilikuwa za dili. CASH ONLY. NANI ANA PESA CASH KAMA HIZO. TANZANIA ILIKUWA IKIONGOZWA NA BIASHARA FEKI, HAZIENDELEI BILA DILI NDIYO MAANA BIASHARA zinakufa. Ni kama BIASHARA ya Mbowe, ilikuwa ikionekana kubwa na kila mtu alifikiri Mbowe ni tajiri amezariwa kwenye utajiri, kumbe BIASHARA ilikuwa inaendeshwa kwa dili, kodi ya nyumba pesa za wananchi billion 1.3 hazilipwi. Hii ni kodi ya nyumba tu, sijui kama alikuwa analipa kodi ya mapato, hakudaiwa wala kuguswa mpaka serikali ya Mahufuli ilipoingia a no nonsens government. Uchumi wa Tanzania SERIKALI iliyopita ulikuwa uchumi feki, mteja wa mabiashara yote ilikuwa ni serikali pesa za watu wengi zikilisha watu wachache. BIASHARA za ukweli zitaendelea biashara za dili zitapolomoka moja moja.

Wabongo mkiona mtu kakwama mnadhani ni deals tu alikua anapiga,kama hotel haijiendeshi kwa kukosa wateja aoperate on loss? Au before alikua anaoperate Kwa deals za kutafuta wateja wa deal pia..alaf kwa mawazo yako mwenye hotel ndio aliyeitangaza apo? Hao ni madalali tu mwenye hotel unaweza kukuta ata ajui kama inatangazwa kiholela namna io..alaf kusema cash payments only kuna wengine wanakua interested na exchanges na kutop up some amounts..mfano anaweza akasema nna Sheli mahali tu exchange na io hotel then ntakutop up 200 mill..
 
Kama hakuna pesa mbona anaweka bei ya kuuzia watu watazitoa wapi hizo pesa za kununulia?katika biashara ya hotel kuna msimu na mda sio msima,kipindi cha msimu unatakiwa kusave ili kipindi sio msimu uwe na balance,nani atainunua kila mtu hana pesa mwambie kabisa asituchanganye!
tunaweza kubadilishana mkuu,kama una mahindi au mpunga hata maharagwe pia tunachukua
 
Kama hakuna pesa mbona anaweka bei ya kuuzia watu watazitoa wapi hizo pesa za kununulia?katika biashara ya hotel kuna msimu na mda sio msima,kipindi cha msimu unatakiwa kusave ili kipindi sio msimu uwe na balance,nani atainunua kila mtu hana pesa mwambie kabisa asituchanganye!
acha hasira mkuu
 
Hakika Umaskin ndani ya Utawala huu utaongezeka ×100
Makampun Mengi yanafunga ofis zao.
Mmh! Tutaisoma namba
 
Awamu hii kama ulikuwa unaendesha biashara kiwiziwizi kwa kukwepa kodi lazima ukae tu.
 
Roho mbaya ya kimaskini! Wewe kwako kila mtu ni jipu? Unataka upangie watu maisha yao? Unajua mwenye hiyo hoteli anauza kwa sababu gani....kama anataka aondoke akawekeze mahali pengine hata nje ya nchi utajuaje? Mnakaririshwa kuchukia wenye fedha utafikiri fedha hizo zitageuka kuwa zenu! Mtaendelea kuwa maskini hivyo hivyo!
Dah.....yaani mimi nihangaike juani...nilipe kodi....halafu hiyo kodi yangu anachukua bosi mmoja anaenda kunywa maji ya million 2 kwenye hiyo hotel kiulaniii...Noo ...kama ni chuki dhidi ya wenye pesa za aina hii na idumu milele ...amen
 
Unaifahamu au uliwahi kuingia kwenye hiyo hoteli kiasi cha kuandika hayo uliyoandika?
 
Back
Top Bottom