Biashara gani za kufanya ambazo haziathiriki na impact ya Corona

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari JF!
Nimeanza ku sense kwamba mauzo yanapungua kwenye biashara yangu ya mgahawa nikachukua hatua ya kuongea na mfanyakazi wangu jinsi gani tunaweza kukuza mauzo maana nilitaka kumlaumu kwa uzembe lakini nikaona ni vyema tukabadilishana mawazo nijue changamoto zake kabla sijamlaumu maana yeye ni mgeni kwenye biashara.

Baadae nikaenda kutafuta taarifa za mauzo kimya kimya kwa mshindani wangu kibiashara nikaona naye analalamika hapo nikagundua kwamba nauza sana kuliko mpinzani wangu na hiyo ni sababu mm nauza asubuhi mpk usiku tofauti na mpinzani wangu.
Wadau ebu tupeane michongo ni biashara gani ambayo haiwezi athirika na Corona ???
 
Biashara ya kuuza matunda aina zote
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom