Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

Status
Not open for further replies.

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,314
Hello business personels

Naomba kujua as per heading above, biashara ipi ambayo naweza kuingiza kiasi cha faida zaidi ya milioni 100 hadi 500 kwa mwez, kwa wiki au kwa siku..

Haijalishi mtaji kama ni mkubwa, niambiwe pia kiasi cha huo mtaji, na mtiririko wote kwa ujumla, kama utaona kueleza hapa ni shida, you can come direct to my PM kwa kunipa maelezo zaidi.

Michango

===========

Ni kweli inalipa but very complicated uifanye for leisure.

Siku hizi vitalu vya uwindaji vinanunuliwa kwa mnada lakini kama unataka kuanza now unaweza kuingia collaboration na mwenye kitalu wewe ukawa unamletea wateja wa kuwinda wanyama. Hiyo itakuwa ina unafuu kwako.

Lakini kumiliki kitalu sio pesa ya maandazi. Kuna hela ya kukinunua, kuna ada ya kulipa kila mwaka kutokana na ubora na sehemu kitalu kilipo kuna cha ada ya dollar 15,000, 30,000 na 60,000 kuendelea.

Mnyama unayemwinda kuna gharama za kumlipia:-

Dollar 8, 500 Nyati
Dollar 4,500 Chui
Dollar 7,500 simba
Dollar 400 swala
Nk nk

Huyo mnyama unaweza kumuuzia mgeni/mteja bei mara 3

Kuna gharama za kulipia siku utakazoweka camp, wafanyakazi nk

Kiufupi hii biashara inalipa sana lakini ni very complicated na inahitaji mtaji mkubwa sana almost 1B na kuendelea kwa kumiliki kitalu.

==========

Kama unaomtaji wakutosha njoo uwekeze kwenye madini yadhahabu miezi mi3 kazi zikifanyika kisawasawa tayari utakuwa umepata faida yakutosha ukinielewa njoo inbox soma report yamgodi kwanza ndio unitafuteView attachment 1204372

===========

Copy Business Model Ya Azam Ukwaju ( Azam Ice Lolly ).

Tengeneza Mtandao Wa Usambazaji Nchi Nzima.
Ukiuza ( Mfano Ukwaju ) Moja Na Ukapata Faida Ya Tsh 100

Na Kama Ukiuza Bars Laki 2 Kwa Siku, Tayari Una Tsh 200,000^100 = Tsh 20,000,000 Kama Profit.
Ukiongeza Mauzo Au Faida Unapata Zaidi.

Si Lazima Ufanye Ukwaju, Unaweza Kucheki Bidhaa Nyingine Yoyote
 
unaweza kunipa ufafanuzi kidogo mr cash money au kama hapa sio karibu PM
Ni kweli inalipa but very complicated uifanye for leisure.

Siku hizi vitalu vya uwindaji vinanunuliwa kwa mnada lakini kama unataka kuanza now unaweza kuingia collaboration na mwenye kitalu wewe ukawa unamletea wateja wa kuwinda wanyama. Hiyo itakuwa ina unafuu kwako.

Lakini kumiliki kitalu sio pesa ya maandazi. Kuna hela ya kukinunua, kuna ada ya kulipa kila mwaka kutokana na ubora na sehemu kitalu kilipo kuna cha ada ya dollar 15,000, 30,000 na 60,000 kuendelea.

Mnyama unayemwinda kuna gharama za kumlipia:-

Dollar 8, 500 Nyati
Dollar 4,500 Chui
Dollar 7,500 simba
Dollar 400 swala
Nk nk

Huyo mnyama unaweza kumuuzia mgeni/mteja bei mara 3

Kuna gharama za kulipia siku utakazoweka camp, wafanyakazi nk

Kiufupi hii biashara inalipa sana lakini ni very complicated na inahitaji mtaji mkubwa sana almost 1B na kuendelea kwa kumiliki kitalu.
 
Hello business personels

Naomba kujua as per heading above, biashara ipi ambayo naweza kuingiza kiasi cha faida zaidi ya milioni 100 hadi 500 kwa mwez, kwa wiki au kwa siku..

Haijalishi mtaji kama ni mkubwa, niambiwe pia kiasi cha huo mtaji, na mtiririko wote kwa ujumla, kama utaona kueleza hapa ni shida, you can come direct to my PM kwa kunipa maelezo zaidi.
Kama unaomtaji wakutosha njoo uwekeze kwenye madini yadhahabu miezi mi3 kazi zikifanyika kisawasawa tayari utakuwa umepata faida yakutosha ukinielewa njoo inbox soma report yamgodi kwanza ndio unitafute
IMG-20190910-WA0004.jpeg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom