Biashara gani yenye kuingiza faida ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku?

Status
Not open for further replies.
Kuna jamaa mtaani anamshine yake nyumbani uwani anatengeneza product flani anapiga pesa mbaya, wafanyakazi wanapokezana shift.
Kwa siku anaingiza profit sio chini ya milioni 4.
Katika kudodosa kwa watu wake wa karibu wanasema hiyo mashine amenunua milioni 70 hapa Tanzania. Na uhitaji wa soko umemzidia anashindwa kudeliver order za wateja kwa wakati.
Nimejaribu kufuatilia bei ya hiyo mashine China inauzwa Dollar 50,000.

Product gani
 
Hiyo mashine inatengeneza products gani mkuu?
 
Njoo pm
Kuna jamaa mtaani anamshine yake nyumbani uwani anatengeneza product flani anapiga pesa mbaya, wafanyakazi wanapokezana shift.

Kwa siku anaingiza profit sio chini ya milioni 4.

Katika kudodosa kwa watu wake wa karibu wanasema hiyo mashine amenunua milioni 70 hapa Tanzania. Na uhitaji wa soko umemzidia anashindwa kudeliver order za wateja kwa wakati.

Nimejaribu kufuatilia bei ya hiyo mashine China inauzwa Dollar 50,000.
 
So far baadhi ya mawazo ya great thinkers wachache waliotoa, naona idea ya mbao nimeipiga chini

Idea ya madini, ..naifikiria bado ila naweza kuipiga chini

Sheli nayo ..big NO..

mobile company...big NO,

Kukopi idea ya bakhresa ...NO

Kununua bond za government...mmmmh..NO

Uwindaji kihalali...sounds great..

Kiwanda cha Kubangua korosho
...sounds great

All in all nashukuru Kwa mawazo ya baadhi ya great thinkers na bado napokea nyingine..nataka kama tano hivi..
 
Kwa mtazamo wangu ili kufika target yako ni vyema ukafanya biashara ya kuuza na nunua ..so ni wakati wako kuangalia biashara ipi utaifanya mahali gani na kipindi kipi na kuangalia bidhaa gani inatoka kwa wingi

Labda nikuulize ulishawai fanya biashara gani mwanzoni?
 
Return ya mwaka ndio hio 15.49% so do your calculation to get the targeted profit and amount to invest, Investment kwenye bondi za Muda mfupi (chini ya miaka 2) minimum capital laki tano na Bondi za Muda mrefu Minimum capital ni 1,000,000 and maximum period ni 20yrs
hiyo min capital return yake kwa mwaka inakuaje chief au hiyo ya milioni?
 
Anzisha kiwanda cha matairi ya magari na pikipiki
Pia nunua rights za kutengeneza pikipiki kutoka kwa walioendelea huku ukifanya research za kuja na chombo chako
Unaweza pia kuwekeza kwenye kiwanda cha baiskeli

Soko:Jumuia ya africa mashariki na Sadc
 
Bilioni 2 itatosha mtaji? Nawaza kua na kiwanda sana
 
Nikopeshe laki 6 mkuu tuboost biashara

Back
Top Bottom