Biashara gani yenye kuingiza profit ya milioni 100 mpaka 500/mwezi/wiki/siku

PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
10,983
Points
2,000
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
10,983 2,000
Hello business personels

Naomba kujua as per heading above, biashara ipi ambayo naweza kuingiza kiasi cha faida zaidi ya milioni 100 hadi 500 kwa mwez, kwa wiki au kwa siku..

Haijalishi mtaji kama ni mkubwa, niambiwe pia kiasi cha huo mtaji, na mtiririko wote kwa ujumla, kama utaona kueleza hapa ni shida, you can come direct to my PM kwa kunipa maelezo zaidi.
 
B

Blac kid

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Messages
4,221
Points
2,000
B

Blac kid

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2012
4,221 2,000
Siasa mchanganuo wake rahisi piga mapambio na nyimbo za kusifu miezi sita mfululizo then unateuliwa kanyadhifa fulani fulani.
 
Inferior Complex

Inferior Complex

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2014
Messages
3,651
Points
2,000
Inferior Complex

Inferior Complex

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2014
3,651 2,000
Biashara ya Mbao.
Madini
Samaki
Uwindaji wanyama pori
Mazao kuyapeleka Nje..

For more Info Ure welcome PM
Hello business personels

Naomba kujua as per heading above, biashara ipi ambayo naweza kuingiza kiasi cha faida zaidi ya milioni 100 hadi 500 kwa mwez, kwa wiki au kwa siku..

Haijalishi mtaji kama ni mkubwa, niambiwe pia kiasi cha huo mtaji, na mtiririko wote kwa ujumla, kama utaona kueleza hapa ni shida, you can come direct to my PM kwa kunipa maelezo zaidi.
 
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Messages
10,983
Points
2,000
PATIGOO

PATIGOO

JF-Expert Member
Joined Jun 23, 2012
10,983 2,000
nataka legitimate business, halali kabisa, labda hio madini nipe mchanganuo
Madini mkuu, kama una roho ya paka uza sembe mkuu kiasi hicho unaweza kusanya kwa lisaa.
 
Cash Money Forever

Cash Money Forever

Member
Joined
Mar 16, 2019
Messages
12
Points
1,000
Cash Money Forever

Cash Money Forever

Member
Joined Mar 16, 2019
12 1,000
unaweza kunipa ufafanuzi kidogo mr cash money au kama hapa sio karibu PM
Ni kweli inalipa but very complicated uifanye for leisure.

Siku hizi vitalu vya uwindaji vinanunuliwa kwa mnada lakini kama unataka kuanza now unaweza kuingia collaboration na mwenye kitalu wewe ukawa unamletea wateja wa kuwinda wanyama. Hiyo itakuwa ina unafuu kwako.

Lakini kumiliki kitalu sio pesa ya maandazi. Kuna hela ya kukinunua, kuna ada ya kulipa kila mwaka kutokana na ubora na sehemu kitalu kilipo kuna cha ada ya dollar 15,000, 30,000 na 60,000 kuendelea.

Mnyama unayemwinda kuna gharama za kumlipia:-

Dollar 8, 500 Nyati
Dollar 4,500 Chui
Dollar 7,500 simba
Dollar 400 swala
Nk nk

Huyo mnyama unaweza kumuuzia mgeni/mteja bei mara 3

Kuna gharama za kulipia siku utakazoweka camp, wafanyakazi nk

Kiufupi hii biashara inalipa sana lakini ni very complicated na inahitaji mtaji mkubwa sana almost 1B na kuendelea kwa kumiliki kitalu.
 

Forum statistics

Threads 1,336,292
Members 512,585
Posts 32,533,664
Top