Biashara gani ya nafaka ina soko zuri kipindi hiki?

Ni biashara gani ya nafaka (mahindi/mpunga) ina soko zuri kipindi hiki?

mahindi maana yamepanda bei kiukweli ila mchele naona umeshuka bei nina wasiwasi sana ila mahin di reja reja yamefika buku kwa kilo
 
mahind mkuu japo kuwa naona mchele nao.utapanda sana kuuanzia miez 9..kama upo vizur jumua mpunga then upige stoo
 
Back
Top Bottom