Biashara gani ya mtaji mdogo inafaa kwa wageni Kariakoo?

million mbili ilikuwa kabla ya miaka mitano

kuna Mtu pale analipa 1.5M ina mpaka store

pia kuna mtaa nilipewa frem inataka 300k though siyo kubwa

unacheza Siku hizi wanabandika Tangazo La from inapangishwa
Mbona ghari hivyo??? Zipo laki2 tu mpaka full contained choo chako na stoo unapata
Tena ziko barabarani kabisa
 
Population inatia moyo ila now hamna mauzo kabisa....so ucje na high expectations kupita kiasi utaumia moyo.

Plus jua linawaka balaa hadi unaweza ckia kulia hivi... Nina meza apo I know wat am sayin
Any Updates Please.... leo Nov 2021
 
Back
Top Bottom