biashara gani unaweza kuifanya kwa kutumia kompyuta km mtaji..

hizo software zinauzwa madukani au mpaka kudownload sehemu?

Kuna vitu wanaita box, hizo box ukishanunua ndo unatafuta software zake ili kuzisapoti kufanya chochote kwenye simu,box zitakazokupa kazi nyingi ni za simu za nokia na box za kichina ,hizi ndo simu watu wengi wanazo hivyo ata kwa mafundi zinaenda sana.
Kwa ushauri kama utafany shughuli hii basi nunua box ya nokia na box ya simu za kichina.
Pia simu ambazo ni smartphone uwa zinalipa sana ukipita kazi zake kama kuzi-unlock au kuformat hizi unaweza kukaa ata miezi 3 hujapata kazi yake kwa sababu 1 ni imara haziharibiki hovyo 2 watu wachache ndo wanazo
 
ufs,jaf,infinity,volcano box nazo zinadownlodiwa?

Hapana hizo ni security boxes ambazo zina protect software za hao jamaa waliotengenza aka akina Dejan, what you can do if you are able to ni ku kununua hizo software lakini utapewa security boxes ambazo ndiyo hizo ulizotaja kwa majina yake,lakini kumbuka inawezekan kuzi crack pia kwakuwa ktk kila program lazima kunakua na back door! au pia waweza kufanya kitu inaitwa reverse engineering then uka modfy hizo program na ukatumia bila hizo security boxes.Kimsingi wauzaji wanatangaza kwamba wanauza Boxes.Ushauri kwa wanao deal na mambo ya software za simu jitahidini pia kusoma programming language ambazo zinatumika kwenye simu na actually ukiweza kujifunza java,Android na programming lang zingine za simu ambazo ni Object oriented mnnaweza kutengenza hizo software pia na makauza na kupata pesa kama wengine wanavyofanya nchi zingine!

Kuna watanzania wawili akina Dada wametengeza program ambayo inatumika kwenye Noika Lumia last generation huko europa na first degree wamesoma Tz wala siyo europa so can see kwamba kumbe hata sisi tunaweza kufanya mambo kama wenzetu.
 
asante sana kajembe kwa ufafanuzi, lakini sofware nyingi za ku crack huwa hazipig mzigo fresh mfano mimi hapa ninayo Infinity Best V1.55 BY SANJEEV CHAUHAN ni kimeo mwanzo mwisho wakati mwingine ina detect wakati mwingine haioni usb wala box ,cha mno inatakiwa kweli tujifunze programing language ambapo mambo madogo madogo kama ku crack iwe wepesi zaid.
 
Last edited by a moderator:

Unajua Slave kwenye mambo ya software development kuna kua na iteration nyingi sana za end product,kwa maana ya kwamba inawezekana box uliyonayo aliyetengeneza katoa kama protoype ingawaje kwa kwa kweli siyo protype as such kwa kwa sababu amefanya piracy ya mwenzie ila process za development ni zile zile na ataweza kuendelea ku improve hasa anapo pata feedback kutoka kwa nyie users.

Wachina wanafanya piracy za Ndege za Russia kwa miaka mingi sasa lakini wame improve sana kuliko zile za mwanzoni ingawaje engine zimewashinda kutengeneza! huyo jamaa kadiri anavyo pata malalamiko anafanya marekebsho ya hiyo software siku zijazo itakua bomba au hata anaweza kutengeneza ya kwake kwa kubadili hiyo interface ya Infinity akatunga nyingine yake lakini codes zilezile za infinity pamoja na mabadiliko ya kwake mwenyewe! kama unakumbuka ufs 3 software wanayotumia ni third party software ina maana kuna original yake ipo na inaweza ikwa ya nokia wenyewe!

Zamani kuna software ilikua inaitwa Alcatel Eraser ilitumika sana kufungua simu ndogo za alcatel walitesa naza sana akina mwesiga,yahaya,mkude na akina john na maige lakini kumbe zilikua zina count down,program yake ilitengenzwa na kitu ilitengenezwa kwa kitu inaiywa switch statement,hiyo ilikua ina count down ilifika muda ikaanza kuua simu kila ukiflash.Wale jamaa kumbe walitaka ku market software yao then wakauza commercial version ambapo jamaa ililazimika kununua sasa.

Mimi nimewahi kufanya sana mambo ya flashing lakini nikaacha na kubobea ktk maswala mengine but ni nzuri kwakweli lakini you guys needs to improve your self in terms of phone scripting languages ili muweze kushindana ktk soko vizuri otherwise hiyo kitu ni nzuri sana na inavutia, mimi sikutegemea kuacha kabisa niliipenda na bado inanivutia.In fact kuna project nafanya ktk maswala hayo GSM Technology.
 
hii ufs 3 mpaka leo ninayo,mwesiga anasikia kwa sasa yupo posa,yahaya mapua nilikuwa nae huku,mkude na akina hawa john na maigesijui wapi walipo ila mtoto wao ally maige nasikia bado yupo aggrey, mie niliwakubali sana hawa jamaa,

hapo umesema kuna mabox mengine yalikua na count down mie nilizani maana ya ku apdate ndiyo kuipa uhai mpya tena mean inaanza ku count upya??
 
Du kumbe UFS-3 bado ipo sokoni! Mimi nilinunua hiyo kwa mara ya kwanza mwaka 2003 nikiwa ktk mambo ya kuflash simu,kabla ya hapo kulikua na Dejan dongle ambayo hiyo ilikua inatoa nokia zile za second generation kama vile nokia 3310,8210 na kadhalika.

Umeniuliza kuhusu kucount down ni kweli uliposema kuhusu ku upgrade lakini kinachofanyika ni hivi naweza kutengeneza software halafu nika iwekea condititon kwenye programming codes zangu kwamba itafungua simu labda 100 tu, so kila unapofungua inapungua number moja na zikifika 100 soaftware haifanyi kazi tena kila ukijaribu kufungua inaonesha inafanya kazi lakini simu haifunguki au hata naweza kuweka program ya kuizima hiyo simu kabisa.

Sasa ku upgrade nikurekebsha makosa yanayogunduliwa wakati wa matumizi ya software na hasa kwakupata feedback kutoka kwa user! na pia kuna bugs zinatakiwa kurekebishwa,kumbuka mtengenezaji wa soft hawawezi kujua matatizo mpaka aipeleke sokoni kwa watumiaji so upgrade inakua imerekebisha matatizo yale na pia kuongeza fuctions zingine kwa mfano umewahi kuona soft ina unlock lakini haiflash lakini wanapo upgrade watakuambia sasa tunaweza ku upgrade pia!na pia wanaongeza simu zingine mpya!

Ofisi yako iko wapi? ni kweli Ali yupo kariakoo na ni mdogo wake na Maige.Sijui akina yahaya wako wapi siku hizi,ila John najua yuko wizara ya fedha nadhani amesha maliza Msc IT pale mlimani alikua anasoma pale toka mwaka 2011.
 
nakushauri uende kozi ukapige microsoft office zote.. Kama unazijua.. Then funga safari nenda karibu na chuo chochote ukale hela... Hasa hasa kwenye kale kaupande ka TABLE OF CONTENTS..

Sajy: Wewe uko chuo gani watu wachangamkie biashara?
 
Du kumbe UFS-3 bado ipo sokoni! Mimi nilinunua hiyo kwa mara ya kwanza mwaka 2003 nikiwa ktk mambo ya kuflash simu,kabla ya hapo kulikua na Dejan dongle ambayo hiyo ilikua inatoa nokia zile za second generation kama vile nokia 3310,8210 na kadhalika.

Umeniuliza kuhusu kucount down ni kweli uliposema kuhusu ku upgrade lakini kinachofanyika ni hivi naweza kutengeneza software halafu nika iwekea condititon kwenye programming codes zangu kwamba itafungua simu labda 100 tu, so kila unapofungua inapungua number moja na zikifika 100 soaftware haifanyi kazi tena kila ukijaribu kufungua inaonesha inafanya kazi lakini simu haifunguki au hata naweza kuweka program ya kuizima hiyo simu kabisa.

Sasa ku upgrade nikurekebsha makosa yanayogunduliwa wakati wa matumizi ya software na hasa kwakupata feedback kutoka kwa user! na pia kuna bugs zinatakiwa kurekebishwa,kumbuka mtengenezaji wa soft hawawezi kujua matatizo mpaka aipeleke sokoni kwa watumiaji so upgrade inakua imerekebisha matatizo yale na pia kuongeza fuctions zingine kwa mfano umewahi kuona soft ina unlock lakini haiflash lakini wanapo upgrade watakuambia sasa tunaweza ku upgrade pia!na pia wanaongeza simu zingine mpya!

Ofisi yako iko wapi? ni kweli Ali yupo kariakoo na ni mdogo wake na Maige.Sijui akina yahaya wako wapi siku hizi,ila John najua yuko wizara ya fedha nadhani amesha maliza Msc IT pale mlimani alikua anasoma pale toka mwaka 2011.

hii box UFS-3 +HWK Bado inapiga mzigo mkuu kwa sasa nasumbuka na cable tu na nimeanza kujifunza hii kitu pin.jpg ,hii ndio box yangu ya kwanza kabisa niliipenda kwa kuwa ili kombaini simu nyingi UFS_DCTxBB5 nokia kibao, UFS_RTP ericksson,UFS_KZF na UFS_LG_GSM, ila ni kweli box hili kwa sasa halifanyi kazi nyingi kama zamani,maana enzi zile lilikuwa lina uwezo mkubwa hasa kwa nokia,samsung na siemens c55,c45 na zingine kibao. ki ukweli sasa hivi linafanya kazi kwa soft baadhi tu hasa zilizo crack kama J.A.F PKEY EMULATOR.

box yangu ya pili ilikuwa ni vepro hii kampuni nayo sijui imefia wapi maana hata program zao zilizo kuwa online wali delete zote.
 
computer yako ni aina gani kwa maana ili uweze kufanya kazi
kama fundi, mwalimu, kutunga nyimbo,kuchora ramani za nyumba,kujisomea mwenyewe bila mwalimu,kulima aina mabalimbali za boga au maua,ufugaji wa aina mbalimbali za wanyama mimi ni mtaalamu wa computer katika fani nyingi za ufundi pia nazo software za simu,magari,ramani za nyumba,
apps za mba,apps za english,masomo ya biblia,masomo ya qurani,zote software hizi huwezi kupata bure ntakuuzia kwa bei nafuu natoa ushauri ili uweze kuwa mjasili mali hodari
e-mail yangu -moto2tec@yahoo.co.uk
msaada kwa pesa ndiyo mafanikio ya kudumu,bure aghali
haji rashid amani
 
1. Jifunze ku-design website/blogs. Ukipata wateja 2 kwa mwezi inatosha.
2. Uza vitu vya wengine online (utalazimika uwe na kamera), unaweza kuuza nguo mpaka nyumba. Kuuza online vitu tumia social networks kama facebook, twitter, jamiiforums n.k. Usikae facebook kuuza sura tu, ifanye fb ikupe kipato, cha kwanza uwe na marafiki wengi.

Hii kitu mimi pia nimekuwa nikiiwaza tangu mchana ila mimi nilikuwa nawaza vinyago vya makonde na bidhaa nyingine asila za kitanzania, How feasible is this idea nataka kutumia e-bay!
I have a computer and a 16 MP cannon camera mama yuko nyumbani hana kazi I guess naweza kufungua hii kitu on ebay
Do you have any idea bidhaa gani nyingine toka tz naweza kuuza on ebay?
 
kazi zako zinapendeza mkuu, kweli zina artistic touch, kunakipindi nilikuwa naiga design za logos za makampuni mbalimbali ya nje km wwe etc just for fun..ila cjawahi tumia software ulizotaja hapo juu nadhani nikifatilia naweza fanya manake nilifanikiwa kuiga tricks ambazo madesigner wengi wanatumia kwny logos na cover za movies nk. javascript
 
Last edited by a moderator:
poul wewe ulikuwa unaiga.. mimi siigi, nafanya mwenyewe

hata mimi naweza, i can do amazing things with just ms publisher, can u imagine if i get the right software? ntatafuta software ulizotaja na kujifunza kuzitumia,ila sasa cjui soko la hii art likoje na jinsi ya kujitangaza...i liked ur fb page.
 
Last edited by a moderator:
Graphics Designing - Utatumia photoshop/Corel Draw/Adobe illustrator/After effects. utaweza kuwa designer wa banners, billboards/Logos au hata kutengeneza ads za makampuni ila utatakiwa kuwa mbunifu na uwe na ujuzi kidogo kuhusu photography..
3D Artist - Utatakiwa ujue kutumia software za 3D modeling&Rendering kama 3ds max/Maya/Rhino/Cinema4d/Mentalray/V-ray/Lumion/Pixar Renderman.... Binafsi ndio kazi ninayofanya, hata nyumbani naweza nikawasha computer na kuanza kazi.. sio lazima ofisi.
bonyeza hapa uone baadhi ya kazi zangu.

mkuu shukrani sana kwa maelezo yako...hata mie nimekuwa inspired na hzi kaz...na mie ngoja nianze mdogomdogo....i believe nitafika..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom