biashara gani unaweza kuifanya kwa kutumia kompyuta km mtaji.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

biashara gani unaweza kuifanya kwa kutumia kompyuta km mtaji..

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by poul, Apr 29, 2013.

 1. poul

  poul Member

  #1
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 21, 2013
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  biashara ambayo inaweza lipa, angalau hata elfu kumi kwa siku...naomba mawazo kwa wanaofanya na wanaoona wengine wakifanya.
   
 2. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #2
  Apr 29, 2013
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Zipo nyingi sana inategemea na ujuzi ulionao kwenye iyo kompyuta
   
 3. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #3
  Apr 29, 2013
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Unloking/flashing modems, data card & mobile 4ns.
  Kuburn mizik, huduma ya Internet
   
 4. poul

  poul Member

  #4
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 21, 2013
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeipenda hiyo ya kuflash, utaalamu wake ni kazi sana kiasi cha kuitaji mtu wa kunifundisha au ni kitu naweza kujifunza mwenyewe tu.
   
 5. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #5
  Apr 29, 2013
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,379
  Likes Received: 292
  Trophy Points: 180
  ukiwa na utaalam wa vitu japo kidogo tu kuhusu pc hata kabla hujafungua biashara utakuta watu wenyewe wanakufuata mkuu...so inategemea na ujuzi wako katika pc..
   
 6. poul

  poul Member

  #6
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 21, 2013
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ujuzi wangu ni wa matumizi ya kawaida tu sio upande wa maintanance..
   
 7. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #7
  Apr 29, 2013
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  yes hata pekeako waweza jfunza co vgumu it just a fiew mouseclick then after that u done.!
  Ila mpaka uwe na software za ku flash cm/modem
   
 8. hbi

  hbi JF-Expert Member

  #8
  Apr 29, 2013
  Joined: Feb 6, 2011
  Messages: 587
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 60
  Pia ninaweza nikakupa kazi ya wewe kuniletea mimi wateja kisha unapata asilimia flani kulingana na mteja uliyemleta.... Kama upo chuoni, unaweza kuweka matangazo kua unachapa kazi za watu, yaan mtu anakuletea kazi kwenye makaratasi kisha wewe unmachapia kwenye kompyuta, na unamcharge kulingana na wingi wa kazi yenyewe.. La sivyo ningependa kufaham sehem ulipo ili niweze kukushauri kulingana na mazingira uliyopo
   
 9. poul

  poul Member

  #9
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 21, 2013
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi niko nyegezi hapa mwanza.
   
 10. poul

  poul Member

  #10
  Apr 29, 2013
  Joined: Apr 21, 2013
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hizo software zinauzwa madukani au mpaka kudownload sehemu?
   
 11. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #11
  Apr 30, 2013
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,211
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  poul kwenye sread yako ile uliyokuwa unatafuta mtu wa kukufundisha ufundi wa simu nilikuwekea link ya forum ambapo unaweza kusaidiwa kwa kiasi na ukapata mwanzo mzuri, kuhusu computer kuifanya mtaji wa kukuingizia japo elfu kumi mie naungana na bwana mkubwa hapo juu alie sema kuwa inategemea na ujuzi wako ktk computer. Ninacho fahamu ni kwamba computer ambacho kinafanya kazi nyingi pengine kinaweza kuwa ndio kinacho ongoza, kama unaweza kupata chumba cha ofisi fanya hivyo afu utafute fundi uwe nae hapo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 12. Iyokopokomayoko

  Iyokopokomayoko JF-Expert Member

  #12
  Apr 30, 2013
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 1,809
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  1. Jifunze ku-design website/blogs. Ukipata wateja 2 kwa mwezi inatosha.
  2. Uza vitu vya wengine online (utalazimika uwe na kamera), unaweza kuuza nguo mpaka nyumba. Kuuza online vitu tumia social networks kama facebook, twitter, jamiiforums n.k. Usikae facebook kuuza sura tu, ifanye fb ikupe kipato, cha kwanza uwe na marafiki wengi.
   
 13. M

  Mboganyiru Member

  #13
  Apr 30, 2013
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  kaka hii inakuaje, nimeipenda!!
   
 14. July Fourth

  July Fourth JF-Expert Member

  #14
  May 1, 2013
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 2,288
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  nakushauri uende kozi ukapige microsoft office zote.. Kama unazijua.. Then funga safari nenda karibu na chuo chochote ukale hela... Hasa hasa kwenye kale kaupande ka TABLE OF CONTENTS..
   
 15. chaUkucha

  chaUkucha JF-Expert Member

  #15
  May 1, 2013
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 3,225
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  bila kusahau kuingiza nyimbo kwenye simu pamoja na kuburn CD alafu computer yako unaijaza movie za ukweli unauza
   
 16. poul

  poul Member

  #16
  May 1, 2013
  Joined: Apr 21, 2013
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mi nna ka certificat kwenye microsoft office cjui kanatosha
   
 17. poul

  poul Member

  #17
  May 1, 2013
  Joined: Apr 21, 2013
  Messages: 56
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  movie za kibongo? si ntafungwa jamani.
   
 18. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2013
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  waweza pia kuzdownload
   
 19. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2013
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,211
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  ufs,jaf,infinity,volcano box nazo zinadownlodiwa?
   
 20. N

  Nyasiro Verified User

  #20
  May 2, 2013
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 1,286
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Piracy
   
Loading...