Biashara gani ulifanya ukiwa chuoni?

Trade crypto currency mkuu

Hold coin, chukua boom hold coin baada ya miaka 3 utakuja kunishukuru....

Note waliohold (Bitcoin) coin 2016 wakati naanza first year saizi wanatembelea magari Mimi ndio hivo natoa macho tuuu....

Narudia tena, fuatilia hiyo kitu hapo juu, wewe bado una muda na kichwa bado chepesi kufuatilia mambo....
 
Hiv mkuu hii sio kama kamari aise, maana me maforex, beting sitakagi kusikia hayo makitu
Mkuu nasema "hold"

inaonekana ni mweupe kabisa kuhusu hii kitu ,watu wanaotrade crypto currency ndio huwa wanalose ,ila mtu anayehold coin hapotezi ....

Maana yake unachukua coin unaitunza ,baada ya miaka 3 mkuu hutaikuta hio coin ipo hapo hapo utakuta ipo juuu imepanda bei ,maana yake wewe umenunua bei rahisi ,ukiuza utapiga hela mapema Sana ....

Hivi navoongea ninaushahidi wa watu waliopiga issue hio kabisa ,waliohold coin...

Note ; usiwe na njaa ,kuhold coin watu wengi hawawez kwa sababu Wana njaa ,wanakuwa hawafanyi shughuli nyingine hivyo huziuza mapema wakipata shida au majanga ,kiufupi hawawezi kuvumilia hivyo huuza na kupata faida ndogo ...

Kwa ulimwengu wa sasa ukihold coin mpaka 2028 Mimi nakwambia hutakuja kulialia ajira
 
Watoto wa UDOSO wapo wengi tu kula maisha mkuu usitake kuziwahi stress za mtaani, unless otherwise kafungue mgahawa ujasi tofauti na hapo kula maisha mtaani utapakuta panakusubiri.
 
Niliuza sana video za matusi miaka ya 2005. Nilikuwa ninazishusha kwa kutumia internet iliyokuwa ya Kasi(512KBps) wakati huo katika Chuo Kikuu nilichokuwa ninasoma.
 
uza nguo kali sana za kike kama unamtaji za dukani kama huna mtaji shusha skin jeans za 200 zinakuwa 50-60 kwa kuchukulia dar machimbo ya ilalaboma au karume......hizo skin wewe uza elfu 8 mwisho 7 hautakosa hela mkuu maana asilimua 90 ya wanachuo wanavaa skin ukipata na skin za track wewe beba ndio fashion zao zinatoka sana.....

Ukiweza jitahidi kuuza phone accessories maana udom hadi nyerere square na sabasaba ni mbali.....wewe uza charge, ujifunze ufundi mdogomdogo wa simu, uuze screen protector, uuze earphone na makorokocho ya simu utafika mbali.....

ulishindwa kuwa dalali wa mali used hapo chuo, yani wewe unatafuta muuzaji alafu mnakubaliana bei wewe unatafuta mteja kwa kutangaza mali alafu unaongeza hata elfu 5 pale mkuu....vitu kama simu, laptop vinauzika sana used vyuoni hivyo wewe uwe hapo kurahisisha biashara......

Je unajua wanafunzi wanapenda pombe, Udom mbali kule...jitahidi uwe unasupply pombe haswa wine viroba etc, mkuu utakuja niahukuru badae...

Pia unaweza kua unaazima pikipiki usiku kuanzia saa 3, unajaza mafuta unaanza tafuta wateja haswa wa kuwapeleka na kuwarudisha toka club na sehemu nyingine.....

pita mjini maduka ya vipodozi, omba kuwatangaza vyuoni, piga picha mzigo wako na jitangaze na kujibrand kuwa unaweza rudisha ngozi iliyoharibika kuwa ya kushindania umiss udom, wateja wakitaka ona bidhaa unawaambia lets say ijumaa mzigo unaingia waweke order....wakiweka order wewe unaenda chukua mzigo town unaleta owa wateja......

Unaweza kuwa mr. Derivery wa chips na juice pia wewe pikia kokote ila make sure ni tamu uwe unafanya door derivery etc .....

Asante
 
Mkuu na Mimi mwakani ndo namaliza chuo Niko level kama yako, ila nakushauri jifunze skills tofauti tofauti then jisajili kwenye freelancing platform kama Fiverr, Upwork, Freelancer.com, Guru, PeoplePer Hour etc. Hayo majukwaa kujiunga ni Bure tu, ni wewe na skills zako, smartphone/PC na bundle la internet afu ukibahatika kupata order unaanza kupiga kazi.

Kwa upande wangu kwenye freelancing platform kazi nyingi nazipata Fiverr. Ko Kwa mwezi naingiza zaidi ya laki 4 sometimes laki 7+ ila Kuna miezi mingine naambulia laki 2+ ila Kwa kuwa bado nipo chuo na boom napokea, hiyo Hela inatosha kupata mahitaji yangu ya muhimu na kuongezea hela ya ada make serikali inanichangia nusu ya fees. Kama ilivyobiashara nyingine unaweza kupata order au usipate ila ukiwa na technique za kuuza skills zako, order unapata kama kawaida.

Pia Kuna mdau amekushauri ununue coin na u-hold wazee wa crypto currency wanasema HODL! HODL! na yenyewe ni njia nzuri.

Mimi baada ya kufahamu crypto currency, sahz na-hold zaidi ya coin 20.
NOTE: NOT FINANCIAL ADVICE DO YOUR OWN RESEARCH (DYOR)

Mbali na hayo nipo na website na YouTube channel japo havijaanza kuniingizia kipato, ila naplan kuifanya YouTube channel yangu na Website viniingizie kipato mbeleni.

Good luck kwenye safari yako ya kutafuta mi-dollar
 
uza nguo kali sana za kike kama unamtaji za dukani kama huna mtaji shusha skin jeans za 200 zinakuwa 50-60 kwa kuchukulia dar machimbo ya ilalaboma au karume......hizo skin wewe uza elfu 8 mwisho 7 hautakosa hela mkuu maana asilimua 90 ya wanachuo wanavaa skin ukipata na skin za track wewe beba ndio fashion zao zinatoka sana.....

Ukiweza jitahidi kuuza phone accessories maana udom hadi nyerere square na sabasaba ni mbali.....wewe uza charge, ujifunze ufundi mdogomdogo wa simu, uuze screen protector, uuze earphone na makorokocho ya simu utafika mbali.....

ulishindwa kuwa dalali wa mali used hapo chuo, yani wewe unatafuta muuzaji alafu mnakubaliana bei wewe unatafuta mteja kwa kutangaza mali alafu unaongeza hata elfu 5 pale mkuu....vitu kama simu, laptop vinauzika sana used vyuoni hivyo wewe uwe hapo kurahisisha biashara......

Je unajua wanafunzi wanapenda pombe, Udom mbali kule...jitahidi uwe unasupply pombe haswa wine viroba etc, mkuu utakuja niahukuru badae...

Pia unaweza kua unaazima pikipiki usiku kuanzia saa 3, unajaza mafuta unaanza tafuta wateja haswa wa kuwapeleka na kuwarudisha toka club na sehemu nyingine.....

pita mjini maduka ya vipodozi, omba kuwatangaza vyuoni, piga picha mzigo wako na jitangaze na kujibrand kuwa unaweza rudisha ngozi iliyoharibika kuwa ya kushindania umiss udom, wateja wakitaka ona bidhaa unawaambia lets say ijumaa mzigo unaingia waweke order....wakiweka order wewe unaenda chukua mzigo town unaleta owa wateja......

Unaweza kuwa mr. Derivery wa chips na juice pia wewe pikia kokote ila make sure ni tamu uwe unafanya door derivery etc .....

Asante
Asante asante sana boss nimevutiwa na hiyo ya skin jeans aise, ngoja nianze kufuatilia hao wauzaji, au una namba zao boss?
 
Mkuu na Mimi mwakani ndo namaliza chuo Niko level kama yako, ila nakushauri jifunze skills tofauti tofauti then jisajili kwenye freelancing platform kama Fiverr, Upwork, Freelancer.com, Guru, PeoplePer Hour etc. Hayo majukwaa kujiunga ni Bure tu, ni wewe na skills zako, smartphone/PC na bundle la internet afu ukibahatika kupata order unaanza kupiga kazi.

Kwa upande wangu kwenye freelancing platform kazi nyingi nazipata Fiverr. Ko Kwa mwezi naangiza zaidi ya laki 4 sometimes laki 7+ ila Kuna miezi mingine naambulia laki 2+ ila Kwa kuwa bado nipo chuo na boom napokea, hiyo Hela inatosha kupata mahi Taj yangu ya muhim na kuoongezea Hela ya ada make serikali inanichangia nusu ya fees. Kama ilivyobiashara nyingine unaweza kupata order au usipate ila ukikua technique za kuuza skills zako order unapata kama kawaida.

Pia Kuna mdau amekushauri ununue coin na u-hold wazee wa crypto currency wanasema HODL! HODL! na yenyewe ni njia nzuri.

Mimi baada ya kufahamu crypto currency, sahz na-hold zaidi ya coin 10. Ukitaka upate faida zaidi nunua hizi coin mpya mpya.
NOTE: NOT FINANCIAL ADVICE DO YOUR OWN RESEARCH (DYOR)

Mbali na hayo nipo na website na YouTube channel japo havijaanza kuniingizia kipato, ila naplan kuifanya YouTube channel yangu na Website viniingizie kipato mbeleni.

Good luck kwenye safari yako ya kutafuta mi-dollar
ELEZEA KWA UNDANI NMAANA TEETH HAWAELEWEKI
 
Nipo njia panda mpaka sasa, mwakani namaliza chuo home hali sio nzuri, nawaza nikatafute mtaji chuoni kwa kujishughulisha na chochote kitu. Naomba ushauri wa biashara nzuri.

Mawazo yenu yana umuhimu.

Chuo: UDOM
Nilikua nauza simu za kichina zenye TV na nilikua nauza Laptop na desktop unanipa pesa naenda kariakoo kwa wale Wasomali nanunua napata cha juu
 
Asante asante sana boss nimevutiwa na hiyo ya skin jeans aise, ngoja nianze kufuatilia hao wauzaji, au una namba zao boss?
mkuu sina namba zao ila nilikuwa nafanya hadi mwaka jana june......ni hivi ukiishajua size na unahitaji ngapi kwa ilala boma kuna wanaouziaga nje kwenye mnada kuna boss wao huwa unaweza muwahi ukamwambia unachagua skin 50 hawezi goma mkuu.....unachagua mzigo mzuri kabla hawajaanza zinadi.....pia bei anaweza shusha kidogo....

mimi nilinunua almost skin 20 hivi na top, magauni, brouse etc....ndani ya siku 5 skin nlimaliza zote na ziliwahiwa haraka sababu niliuza kwa bei ya elfu 6 wadada wamkoani wakaona fursa kubwa....kwa kila elfu 6 toa elfu 2 ambayo ni faida maana zingine nilinunua 3000 zingine 4000....

Kuna tumagauni twa jeans pia ni highly liked kwa wadada inategemea na eneo ila yanasoko na naona wauzaji wengi hawana.....

Skin za kuchanika zinapendwa so unachanganya.....hakikisha unachagua rika zuri yani lile la miaka 23+ umbo kubwa kiasi sio maumbo madogo ya wanafunzi wa secondary.....

chini zibane kidogo, zivutike, zisiwe na msamba mkubwa, zisiwe zinaonesha alama ya kuisha kwenye makalio na msamba wa mbele.....pia angalua rangi zako kuna rangi fulani ni old sana nashindwa kuielezea hapa (blue fulani inakama mistari kwa mbali ya kwenda chini)

pajama zile kama batiki (jumsuit) pia zinatoka.
 
nilikua na unlock modems na ku repair kettles za maji , aisee I made some easy dimes
 
Kwa kuanzia hiyo inaweza ikagharimu shilling ngapi?
 
kama upo dar hapohapo ni 100 unakuwa na uhakika wa skin jeans 20-25 kali......na sio mbaya ukianza hivi ili ujifunze size ipi inatoka sana na rangi gani inatoka zaidi...japo kwangu rangi zote zilikuwa zinatoka pia size hiyo ya wadada wa chuo umbo kubwa kiasi sio sana zilikiwa zinatoka sana.....
 
Back
Top Bottom