Sijajua eneo lina ukubwa gani?! Na mtaji wako kiasi gani?!
Lakini
1.kama eneo linaweza kukaa jengo (banda) la stationary ni wazo zuri ukaweka uduma za miamala ya simu itaongeza mzunguko.
2.kama eneo linaweza kukaa restaurant ya wastani ni nzuri zaidi kwa kuweka bei rafiki kwa aina ya wateja wako ambao ni waalimu na wanafunzi wengine watongezeka wa ziada.
3.Unaweza kukodisha hilo eneo watu wenye mitaji yao wakaweka biashara hii ni nafuu haiitaji mtaji.
Kila la kheri