We kenge 10 kwa hiyo humo sio mwa kuingia?. Sio kwamba uliingia kwa speed?. Ulianza vibaya?Forex
Baada ya kuvutiwa na uzi wa kwanza kabisa. Mzee nikapakua vitabu msuli ile ile mixer YouTube. Nikaanza kupiga practical ya live cent ya 1$ kwa 100$
Hahahah nusu mwaka no development leo nikipata profit ya 5$ kesho nachoma 20$
***** nikapiga chini na nishaisahau
Nataka niingie huko mkuu. Vipi?Yani unazungumzia dola 100 Tena ya cent account wakati Kuna watu wamechoma dola zaidi ya 5000 na bado wapo kwenye game ..
Kumbe kilichokukimbiza ni muda?Muda Mzee ilibidi nikomae na mengine
Kosa kubwa sana hilo la kufuata watu..., kupiga kwa watu pesa hakumaanishi wewe utapiga au hautapiga..Jipange tu, kuna watu nipo nao kwny groups wanapiga hela
Kama mimi nimepoteza muda sana kwenye mpunga mpaka sioni pakwenda mtaji wote umekata sijui hata nianzie wapi ila kilimo ni zaidi ya noma labda kilimo cha matunda/miti kinaweza kua ahueni.Changamoto sana,
kimenipotezea muda sana.
Kilimo ni noma sana,kweli ukitaka kupata pressure anzisha jambo.Kilimo dah! Nilipoteza mtaji wangu karibu wote ila nilisimama nikaanza mdogomdogo
Mpunga kuna mwana alipoteza 2M alafu maji hayakutosha aisee hakulamba hata mchele roboKama mimi nimepoteza muda sana kwenye mpunga mpaka sioni pakwenda mtaji wote umekata sijui hata nianzie wapi ila kilimo ni zaidi ya noma labda kilimo cha matunda/miti kinaweza kua ahueni.
Ilikuwaje mkuu.Nimetumia Zaidi Ya 1M Kulima Mihogo,
Haikurudi Hata 100 !
Haikuzaa kabisa au?Nimetumia Zaidi Ya 1M Kulima Mihogo,
Haikurudi Hata 100 !
Sijajua greenhouse farming huenda ikawa ipo poa zaidi.Kilimo balaa...