Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Biashara ya kilimo cha Mpunga na kisha kuuza mchele.

Kuanzia Octoba mpk juni mwaka unaofata (jumla=miezi 9) ni kupeleka tu pesa shambani.

Mwezi Juni, unavuna.

Unakuta bei hailipi.

Unaweka tena Mpunga godown mpk mwezi wa Decemba labda bei inakua imetulia.

Ukiangalia umeinvest more than 35mil.

Unakoboa NA kuuza unapata 41mil.

Just imagine, unahangaikia sh. 6mil for more than 14 months.

Hapo We we ndo umepata.

Wengine wamekula loss.


Hujakutana na stress za maji kuingia shamban, kimiyanga, n.k

Aisee nilinyoosha mikono.
 
DeepPond, Mkuu kuna kipindi ulipotea kwa Kanji kulee kumbe ndo tulikuwa kuinvest aisee..Pole mzee kilimo changamoto sana
 
Hahahahaha si huwa mnasema forex Ni kubeti ..Huwa mnasema kana kwamba hizo biashara zingine huwa hampigwi.. huwa tunasema humu hakuna biashara isiyo na changamoto ila inabidi uwekeze kwenye issue yenye calculated risks and that's all.

Nimeona mtu humu kawekeza kwenye mpunga mwaka mzima na kapata million 6 .. yaani aliwekeza million 30 na kapata million 6.

Yaani kawekeza dola 15,000 halafu anakuja kupata dola 3000 baada ya miezi 12 baadae ..


Hiyo dola 15,000 good fx trader anazalisha hoyp million 6 ndani ya miezi miwili tu.

Jamani acheni kuzaraulina guys kila mtu ale kwa uwezo wake na sio kuona wengine wanafanya ubabaishaji wakati humu tunaona kuna watu wamepigwa kuanzia kwenye bajaji, kilimo n.k.

Mwisho wa siku kila kitu Mungu atangulize mbele
 
Kuuza Valiamu

Aise hii biashara yangu iliingiliwa na mkono wa serikali nikaanza kukosa mzigo stoo (phamacy) ila kiukweli ilikuwa inanilipa vizuri pale shule, kila domu nilikuwa ndio 2pac wao daily nanunua tu half keki 5.
 
Kuuza bange..... Masela wanakopa Sana ... Kijiweni wengiiii wanunuaji wachache mila mmoja kugongea tu cha pusha.

Mkuu hii biashara ukitaka ifaidi tembeza mzigo night club na kasino ukifanikisha kuwa mtu wa wahudumu. Ilishaninufaisha kipindi fulani ila lazima uwe rafiki mkubwa wa malaya ila chagua wale classic achana na wale ya wananyamala
 
Yaani acha pata picha mastress hayo afu nipo chuo napiga msuli aisee nilichoka nikaona isiwe shida nikauza zote
Wewe mimi kabisa hii biashara niliitamani nimenunua boda nikampa dereva mwanzoni hela ya hesabu wanaleta vizuri kati wanabadilika mpaka hela ya hesabu ikifika mimi ndio nimtafute na kumfata kwake jamani hii biashara ina presha mwisho wa siku nikaiuza na boda yenyewe sitaki hata kuisikia mtu aniambie mambo ya kufanya biashara ya boda
 
Back
Top Bottom