Tupeane Uzoefu: Biashara gani ilikushinda?

Wewe mimi kabisa hii biashara niliitamani nimenunua boda nikampa dereva mwanzoni hela ya hesabu wanaleta vizuri kati wanabadilika mpaka hela ya hesabu ikifika mimi ndio nimtafute na kumfata kwake jamani hii biashara ina presha mwisho wa siku nikaiuza na boda yenyewe sitaki hata kuisikia mtu aniambie mambo ya kufanya biashara ya boda
Una roho nyepesi, hufai kuigwa na jamii.
 
Back
Top Bottom