Biashara gani Ilikushinda?

MLEVi Mmoja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Messages
1,184
Points
2,000
MLEVi Mmoja

MLEVi Mmoja

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2019
1,184 2,000
Mkuu hii inaitaji akili na kipaji pia alafu usipingane na nafsi yako huku ukiwa risk taker Mimi niliwai better 450 bet power team 24 nikachomoka na laki Saba na sitina tisa elfu kila mtu alishika mdomo
Dadekii hivi unaangalia vitu gani mkuu embu npe ujanja maana mpaka apps kama footmob za kuangalia statistics za timu nlkuwa nayo lkni wap
 
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Messages
11,438
Points
2,000
Cresida

Cresida

JF-Expert Member
Joined Aug 8, 2012
11,438 2,000
Mimi pia ilinishinda bodaboda, niliuza ndani ya mwezi na huyo nliyemuuzia akaiuza naye ndani ya mwezi pasua kichwa sana.
Kipindi niko first year chuo nlinunua bodaboda mbili aisee io changamoto yake usipime stres tupu madereva pasua kinoma nikapiga chini nikaziuza zote aisee
 
DeepPond

DeepPond

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2017
Messages
7,947
Points
2,000
DeepPond

DeepPond

JF-Expert Member
Joined Nov 18, 2017
7,947 2,000
Biashara ya kilimo cha Mpunga na kisha kuuza mchele.

Kuanzia Octoba mpk juni mwaka unaofata (jumla=miezi 9) ni kupeleka tu pesa shambani.

Mwezi Juni, unavuna.

Unakuta bei hailipi.

Unaweka tena Mpunga godown mpk mwezi wa Decemba labda bei inakua imetulia.

Ukiangalia umeinvest more than 35mil.

Unakoboa NA kuuza unapata 41mil.

Just imagine, unahangaikia sh. 6mil for more than 14 months.

Hapo We we ndo umepata.

Wengine wamekula loss.


Hujakutana na stress za maji kuingia shamban, kimiyanga, n.k

Aisee nilinyoosha mikono.
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
10,897
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
10,897 2,000
Biashara ya kilimo cha Mpunga na kisha kuuza mchele.

Kuanzia Octoba mpk juni mwaka unaofata (jumla=miezi 9) ni kupeleka tu pesa shambani.

Mwezi Juni, unavuna.

Unakuta bei hailipi.

Unaweka tena Mpunga godown mpk mwezi wa Decemba labda bei inakua imetulia.

Ukiangalia umeinvest more than 35mil.

Unakoboa NA kuuza unapata 41mil.

Just imagine, unahangaikia sh. 6mil for more than 14 months.

Hapo We we ndo umepata.

Hujaweka stress za maji kuingia shamban, kimiyanga, n.k

Aisee nilinyoosha mikono.
Mkuu kuna kipindi ulipotea kwa Kanji kulee kumbe ndo tulikuwa kuinvest aisee..Pole mzee kilimo changamoto sana
 
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2014
Messages
6,595
Points
2,000
Daud1990

Daud1990

JF-Expert Member
Joined Mar 15, 2014
6,595 2,000
Hahahahaha si huwa mnasema forex Ni kubeti ..Huwa mnasema kana kwamba hizo biashara zingine huwa hampigwi.. huwa tunasema humu hakuna biashara isiyo na changamoto ila inabidi uwekeze kwenye issue yenye calculated risks and that's all...


Nimeona mtu humu kawekeza kwenye mpunga mwaka mzima na kapata million 6 .. yaani aliwekeza million 30 na kapata million 6...

Yaani kawekeza dola 15,000 halafu anakuja kupata dola 3000 baada ya miezi 12 baadae ..


Hiyo dola 15,000 good fx trader anazalisha hoyp million 6 ndani ya miezi miwili tu ...Jamani acheni kuzaraulina guys kila mtu ale kwa uwezo wake na sio kuona wengine wanafanya ubabaishaji wakati humu tunaona kuna watu wamepigwa kuanzia kwenye bajaji, kilimo n.k ...Mwisho wa siku kila kitu Mungu atangulize mbele
 
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Messages
2,970
Points
2,000
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2017
2,970 2,000
Kuuza Valiamu

Aise hii biashara yangu iliingiliwa na mkono wa serikali nikaanza kukosa mzigo stoo (phamacy) ila kiukweli ilikuwa inanilipa vizuri pale shule, kila domu nilikuwa ndio 2pac wao daily nanunua tu half keki 5.
 
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Messages
2,970
Points
2,000
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2017
2,970 2,000
Kuuza bange..... Masela wanakopa Sana ... Kijiweni wengiiii wanunuaji wachache mila mmoja kugongea tu cha pusha.
Mkuu hii biashara ukitaka ifaidi tembeza mzigo night club na kasino ukifanikisha kuwa mtu wa wahudumu. Ilishaninufaisha kipindi fulani ila lazima uwe rafiki mkubwa wa malaya ila chagua wale classic achana na wale ya wananyamala
 
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2017
Messages
788
Points
1,000
mc gregor

mc gregor

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2017
788 1,000
Mimi pia ilinishinda bodaboda, niliuza ndani ya mwezi na huyo nliyemuuzia akaiuza naye ndani ya mwezi pasua kichwa sana.
Acha tubdereva mpaka atume hesabu ni pasua madereva wana visingizio kibao kijiwen hawakai kwao hawakai yaan ni pasua leo anatuma kesho sound
 

Forum statistics

Threads 1,336,278
Members 512,585
Posts 32,533,318
Top