Biashara gani hapa dar haitaji mtaji mkubwa lakini inaweza kukulipa sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Biashara gani hapa dar haitaji mtaji mkubwa lakini inaweza kukulipa sana

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by frozen, Mar 11, 2012.

 1. frozen

  frozen Senior Member

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Great thinkerz, naomba mawazo yenu, ni bíashara gn hapa dar ya kuuza bidhaa au ya kutoa huduma ambayo haitaji mtaji mkubwa lakini mtu akiifanya kwa maarifa na ustadi mkubwa inaweza mlipa pesa nyingi? Plz naomba mawazo yenu wadau!
   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Mtaji mkubwa au mdogo wa biashara ni ubongo wako
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  biashara ya kuuza mashudu au cocaine
   
 4. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Ice cream, barafu na ubuyuz!
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  kuuza mishkaki ya nyama za paka na mbwa.
   
 6. frozen

  frozen Senior Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 135
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hahahah you guys are nt serious!
   
 7. d

  dy/dx JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 622
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  duh,majibu mengine yanakatisha tamaa
   
 8. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  kama ni ke,corner bar panalipa sana
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Mar 12, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Mbona majibu mengine yako kushoto kushoto
   
 10. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #10
  Mar 12, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,192
  Likes Received: 1,913
  Trophy Points: 280
  Wanaokushauri ni Wanamgambo Ngoja wanajeshi wenyewe WAJE.
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Bange inalipa.
   
 12. Q

  Qsm JF-Expert Member

  #12
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 400
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Pitia mijadala wana JF ya biashara iliyokwisha tolewa huko nyuma utapata kitu.
   
 13. MONTEGO

  MONTEGO Member

  #13
  Mar 12, 2012
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Duh mimi mwenyewe nimechoka lakini la muhimu fanya uchunguzi mwenyewe then itakchokiona ndio uulize watu je inalipa au hailipi,pole sana na hayo majibu.
   
 14. LEGE

  LEGE JF-Expert Member

  #14
  Mar 12, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 4,914
  Likes Received: 5,351
  Trophy Points: 280
  Kuuza maji,juice,karanga,biscuit,sigara,pip,vocha nk kwa kifupi vitu vidogo vidogo inalipa sana dar hasa ukipata place yenye mzunguko.

  Au kama utakuwa na hela za kutoshereza fanya biashara ya vyakula kwani nayo hapa dar inalipa sana.
   
 15. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2012
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180

  Tutawajua tu, vitu vingine inabidi kuwa serious na kama hamna cha muhimu ni bora kukaa kimya watu wakamshauri na sio kila kitu utani, haipendezi wakuu, kila mtu anaangalia namna ya kutoka kimaisha na sio kuweka utani!!
   
 16. b

  blessings JF-Expert Member

  #16
  Feb 3, 2015
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 5,073
  Likes Received: 2,860
  Trophy Points: 280
  Biashara/udalali ya kutafutia watu ma_Housegirl, shamba boy na wauza maduka, fremu, nyumba inalipa maana hela nje nje na haina kodi
   
 17. ladyfurahia

  ladyfurahia JF-Expert Member

  #17
  Feb 3, 2015
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 13,648
  Likes Received: 1,134
  Trophy Points: 280
  Cha kufanya wewe angalia sehemu gani itakufaa kufanya biashara yenye mzunguko wa watu
  kisha weka kitu unachoona hapo mahali wana uhitaji nacho utafanikiwa na utatoka kivyako
   
 18. N

  Nando JF-Expert Member

  #18
  Feb 3, 2015
  Joined: Oct 5, 2014
  Messages: 4,895
  Likes Received: 1,532
  Trophy Points: 280
  Uza pweza+supu ya pweza lazima utusue.
   
 19. KikulachoChako

  KikulachoChako JF-Expert Member

  #19
  Feb 3, 2015
  Joined: Jul 21, 2013
  Messages: 14,095
  Likes Received: 11,585
  Trophy Points: 280
  Katika biashara hakuna msingi mdogo wala mkubwa.....bali inategemea unataka kufanya biashara gani na kwa wakati gani.....na mahali gani.....nakushauri mkuu jiangalie na ujipange kwa mtaji uliokuwa nao then fanya maamuzi......vile vile nakushauri utembelee jukwaa la wajasiliamali........huko naamini utapata idea kibao za biashara kuliko kupoteza muda hapa........kila la kheri mkuu na MUNGU akunyooshee.........
   
 20. godimpare

  godimpare JF-Expert Member

  #20
  Feb 3, 2015
  Joined: Feb 10, 2014
  Messages: 831
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  vaa smati tafuta ma document yakushika mkononi alafu u act kama bwana afya au watu wa TrA inalipa unavaana kitambulisho uchwara mbona unapata pesa ndo kaz zinazotuweka mjini au kuuza dhahabu feki na silver uwe muongeaji ndo mtaj
   
Loading...