Biashara Bodaboda na utamaduni wa Mzanzibar

Display Name

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
423
451
Licha ya kwamba Biashara ya Usafiri wa pikipiki maarufu kama Boda boda kuwa maarufu kote Afrika Mashariki. Visiwani Zanzibar imepigwa marufuku na inafanywa kinyume cha sheria.

Wale wanaojihusisha nayo, wengi wao vijana wasio na ajira rasmi imewakwamua kiuchumi, baadhi yao wamejenga nyumba, kusomesha watoto na kukidhi mahitaji yao mengine.

Hata hivyo asilimia kubwa ya wanaofanya biashara hiyo ni kutoka Tanzania bara,huku wenyeji wa visiwani, wengi wao wakiuona usafiri huo hauendani na utamaduni na imani walizonazo. BBC ilitembelea visiwani Zanzibar na kuzungumza na baadhi ya wakazi wa kisiwa hicho.

Ugumu huu unatokea zaidi kwa kina mama/wanawake ambapo kwa tamaduni za kisiwani humo zinamfanya mwanake ashindwe kupanda kwenye bodabodo kutokana na staili yake ya kukaa, hii imesababisha waume wengi kuzuia wake wao kutumia usafiri huu

Source: BBC Swahili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah Bora maana vijana wa bodaboda wangegegeda mno dada zetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangekaa Upande upande basi. Kama Enzi zile Dada Zetu walivyokuwa wanakalia Baiskeli
 
Dah Bora maana vijana wa bodaboda wangegegeda mno dada zetu
Ongeza na ulaji wa chipi, boflo, ulojo, supu na wali siku maalum na no mazoezi hata ya kutembea, unadhani vijana hao wakakamavu wakikuta kinu hakijatwanga vizuri si ndiyo mpaka WANASIMAMIA😂!!
 
Kiukweli Msichana au mwanamke anaepanda boda boda hususan wale wanaokaa kwa kutanua mapaja mimi nawatoa thamani kabisa.
 
Back
Top Bottom