Display Name
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 423
- 451
Licha ya kwamba Biashara ya Usafiri wa pikipiki maarufu kama Boda boda kuwa maarufu kote Afrika Mashariki. Visiwani Zanzibar imepigwa marufuku na inafanywa kinyume cha sheria.
Wale wanaojihusisha nayo, wengi wao vijana wasio na ajira rasmi imewakwamua kiuchumi, baadhi yao wamejenga nyumba, kusomesha watoto na kukidhi mahitaji yao mengine.
Hata hivyo asilimia kubwa ya wanaofanya biashara hiyo ni kutoka Tanzania bara,huku wenyeji wa visiwani, wengi wao wakiuona usafiri huo hauendani na utamaduni na imani walizonazo. BBC ilitembelea visiwani Zanzibar na kuzungumza na baadhi ya wakazi wa kisiwa hicho.
Ugumu huu unatokea zaidi kwa kina mama/wanawake ambapo kwa tamaduni za kisiwani humo zinamfanya mwanake ashindwe kupanda kwenye bodabodo kutokana na staili yake ya kukaa, hii imesababisha waume wengi kuzuia wake wao kutumia usafiri huu
Source: BBC Swahili
Sent using Jamii Forums mobile app