biashara an inalipa mjini msaada wenu wakubwa


K

kazi njema

Member
Joined
Dec 11, 2013
Messages
54
Likes
23
Points
15
K

kazi njema

Member
Joined Dec 11, 2013
54 23 15
nataka nifungue biashara town kati ya nguo na viatu wa kuu
 
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Messages
5,413
Likes
175
Points
160
Majigo

Majigo

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2012
5,413 175 160
kila biashara inalipa
ila mazingira uliyopo ndio ishu!
 
T

T999ZZZ

Senior Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
108
Likes
7
Points
0
T

T999ZZZ

Senior Member
Joined Feb 21, 2013
108 7 0
Kazi njema jiunge telexfree hutajuta.
 
C

cashmoney

Member
Joined
Dec 14, 2011
Messages
90
Likes
3
Points
0
C

cashmoney

Member
Joined Dec 14, 2011
90 3 0
Fungua uuze hivyo vyote (nguo na viatu) kwani wengi hufanya hivyo. Tafuta maeneo ya kariakoo, Mwenge, Sinza na Kinondoni.
 
Deus F Mallya

Deus F Mallya

Verified Member
Joined
Jul 28, 2011
Messages
706
Likes
5
Points
0
Age
35
Deus F Mallya

Deus F Mallya

Verified Member
Joined Jul 28, 2011
706 5 0
nataka nifungue biashara town kati ya nguo na viatu wa kuu
Salaam,

Katika kuamua kufanya biashara hutegemea mambo machache ya msingi sana.
1.Business Idea
2.Business Proposal
3.Capital
4.Location
5.Implementation.

Kama ukielezea japo kwa ufupi jii ya hayo mambo matano ni rahisi mtu kukushauri. Unless otherwise tutakuvalisha viatu ama vya kukubana au vya kupwaya ushindwe kusonga mbele.

Kila la kheri.
 
jluvanda

jluvanda

Member
Joined
Jan 15, 2013
Messages
68
Likes
1
Points
0
jluvanda

jluvanda

Member
Joined Jan 15, 2013
68 1 0
Kampuni ya Chinaworldbuz Company Limited (CWB) ni kampuni ya muungano wa vijana wa kitanzania na kichina waishio jijini Shanghai-China.Kampuni hii iliyoanzishwa february mwaka 2012 jijini Shanghai kwa Lengo la kuifikia jamii ya wafanyabiashara wa Tanzania na Africa kiujumla watakao kununua bidhaa zenye ubora wa hali ya juu kutoka nje ya nchi (hususani China) kwa ajili ya kuboresha biashara zao.Kutokana na kuwa na changamoto nyingi zinazowapata wafanyabiashara wa Tanzania katika nyanja za kukataliwa kibali cha kuvuka mipaka(VISA REJECTION), ugumu wa lugha ya kichina( LANGUAGE BARRIER),kupata bidhaa bandia (FAKE GOODS)katika masoko madogo madogo ndani ya China na pia kukosa mahusiano ya moja (DIRECT LINK) na viwanda vitengenezavyo bidhaa mbali mbali nchini China. CWB ni njia sahihi ya kuweza kuboresha biashara yako bila kukutana na changamoto tajwa hapo juu, ni rafiki mwema wa biashara yako, ni njia sahihi ya kuweza kutimiza ndoto zako katika uwanja huu wa biashara. CWB,Tunatoa elimu ni jinsi gani ya kufanya kazi na sisi, tuna toa ushauri ni aina gani ya biashara mtu anaweza kufanya kulingana na mtaji wake, tunatoa maelezo ya kina kuhusu bidhaa zetu zote tuzitoazo mfano simu, tablets,nk. Kwa Sasa makao makuu ya ofisi za CWB yapo jijini Shanghai na ifikapo January 2014 ofisi zetu zitahamishiwa Ushirika Tower jijini Dar es Salaam. Kwa maelezo zaidi tafadhali tembelea website yetu www.chinaworldbuz.com pia unaweza wasiliana nami kwa email juely2006@yahoo.com au justineluvanda@gmail.com, simu namba +8613524159707.Usiwe na shaka kuuliza au kuhitaji mafafanuzi ya kina. Tupo kwa ajili ya kufikia mahitaji ya wafanyabiashara na watu wanaotaka kufanya biashara.Asanteni.
 

Forum statistics

Threads 1,252,259
Members 482,061
Posts 29,801,906