Biashara 5 unazoweza kufanya ukiwa na mtaji mdogo

Ufigaji wa kuku unahiyaji pesa mkuu.
Magonjwa? Chakula, banda n.k
Ufugaji unafaida kama na kama tu unamtaji
Kuku wa kienyeji hawana changamoto kubwa sana ya maradhi kama eneo lako la ufugaji unaliweka katika hali ya usafi na kutoingiliana na kuku wa jirani.
 
We una matatizo ya akili trust me, Sasa anzisha basi naww uzi uki-motivate watu wasifanye biashara au ufugaji wazurule na mabahasha ofisi za watu kuomba kazi...yaan mtu kutoa idea imekuwa kosa?? kwani we hujawahi kumshauri mtu kitu ambacho hujawahi hata kukifanya?? So far umejuaje Kama yeye anapuyanga kwa miguu mtaani?? Kuna watu wanapata business ideas humuhum JF hadi wanarudi kutoa special Thanks kwa wachangiaji husika waliotoa hizo idea. Kuwa Matured Mkuu.
Mkuu hilo si kosa lake ni kosa la kimfumo kwa Watanzania wengi. Watanzania tulio wengi hatukuzoeshwa kwenye maisha ya kujiajiri, tunapenda kuajiriwa. Ni muhimu sasa tukaanza kubadili mind set zetu kwa kuwaza zaidi kujiajiri. Ukitaka somo la kujiajiri nenda Wilaya ya Makete (ingawa wengi tumeaminishwa ni uchawi), utaona vijana wengi kule wanaanza na mitaji midogo ya sh 100,000 either kwa kulima viazi au kununua miti na baadaye kuwa wasafirishaji wakubwa wa mbao. Akiona mtaji unakuwa mkubwa anafanya biashara upande mwingine analima. Ndio matajiri wa Makete wanavyopata utajiri. Ila kujinyima (kutofanya anasa) ni sehemu mojawapo ya falsafa yao ya kufanikiwa kibiashara.
 
Daah bas wabongo tuna shida kichwani asee
 
Ufugaji wa bata kidogo unitoe ila magonjwa yalinifelisha,sijakoma naanza upya
Nalog off
Soko lake likoje? Na unafugia mkoa gani na vp kuhusu chakula unawapa aina gani ya chakula mie nafuga ila sio kibiashara ningependa kujifunza kwako.
 
Soko lake likoje? Na unafugia mkoa gani na vp kuhusu chakula unawapa aina gani ya chakula mie nafuga ila sio kibiashara ningependa kujifunza kwako.
Mkuu mie nawafugia nje ya Tanzania
Nalog off Z
 
Mkuu hiyo laki ni kubwa. Kuna mtu namjua alianza na kuku 2 wa kienyeji, mmoja tetea na mwingine jogoo. Kwa sasa ana kuku zaidi ya 500. Anawapunguza kwa kuuza kila mara. Sema changamoto ipo kwenye eneo la kufugia hasa ukiwa upo kwenye nyumba ya kupanga.
Nyumba za kupanga ni changamoto kubwa kwa sis tunaoanza maisha aseeeee
 
Back
Top Bottom